PostGE2025 Media za Tanzania mlipewa hongo mkawapuuza wananchi?

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections

Media za Tanzania hawakutimiza wajibu wao kuripoti matukio yanayohusiana na uchaguzi na Vurugu zacha

  • Waliripoti matukio yanayohusiana na uchaguzi na Vurugu

    Votes: 0 0.0%
  • Hawakuripoti vurugu wala vifo vya waandamanaji

    Votes: 1 50.0%
  • Walizibwa midomo hivyo wakakosa namna ya kuripoti

    Votes: 1 50.0%

  • Total voters
    2
...
Umesema ukweli...
 
..yaani ,Star tv nao wameacha kurusha BBC Swahili - Dira ya Dunia saa 3:00 Usiku...UJINGA
Hao star tv anasubiri mpaka hizo habari na mahojiano ya waathirika wa vifo vitakapo isha BBC ndo wairudishe hewani. Tanzania hakuna uhuru wa habari, unakuwepo kwenye habari zisizo na maana. Dunia ya sasa ni ya kuficha taarifa kweli? Hata watu wa Trinidad & Tobago habari zetu wanazo..
 
Umewasikia hawa wahariri wakihojiwa na DW?😀
View attachment 3500553
Hawa ni vibaraka wametumika kulifikisha hapa Taifa ili
Kalamu zao na sauti zao zimewatenga wananchi

Maana Sauti za Wananchi zimepiga
Kelele sana ktk maswala ya UTEKAJI, UFISADI,WAJIBIKAJI, UONEVU

Matokeo ndio haya sasa Maandamano, chuki, visasi
 
Wanafungia fungia vyombo vyote hapa katikati wakati wa lock down kuna mtangazaji mmoja wa EATV alitaka kueleza taarifa za hali ya maandamano ya mwanza nini kimetokea nini kimefanyika, wakamkatisha fasta sana asiendelee kuelezea alichokiona kule maana alianza kufunguka kila kitu alichokiona yaan wanatangaza kwa uoga uoga wanaogopa kufungiwa na kupigwa rungu na mamlaka ile ya mawasiliano
 
Du!! Ila pembe la n'gombe halifichiki, vyombo vyetu vya habari havijaonesha, kuandika wala kuripoti lakini kila mtanzani anajua kwa kuona, kusikia na kusimuliwa na dunia pia inajua.
 
Du!! Ila pembe la n'gombe halifichiki, vyombo vyetu vya habari havijaonesha, kuandika wala kuripoti lakini kila mtanzani anajua kwa kuona, kusikia na kusimuliwa na dunia pia inajua.
Hata ingekua 1890 huko dunia ingejua nini kimetokea, hii ni 2025 kitu kinafanyika hapa asubuhi dunia nzima inaona kila kitu km ipo hapa tulipo
 
Hasa MILLARD AYO, Mpumbavu sana.
 

Eti wanadubiti hesabu raski ya serikali...!!

INEC waliweza kuhesabu watu million 32 kwa siku 2. Wao wanashindwa nini kwa week mbili zote? Wawape hiyo kazi INEC.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…