LGE2024 Media za Tanzania wanafiki sana, zimekesha kuripoti uchaguzi wa Marekani lakini hazina habari na uchaguzi wa Serikali za Mitaa

Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024

Quinine

JF-Expert Member
Joined
Jul 26, 2010
Posts
22,227
Reaction score
49,628
Main media karibu zote, Magazeti karibu yote, TV stations karibu zote zinaripoti uchaguzi wa Marekani kwa undani kabisa, kuna chaneli zimekesha zinaripoti huo uchaguzi, lakini cha ajabu hapa kwetu hazina habari wala haziripoti uchaguzi ulio mitaani kwao. Huu ni unafiki wa hali ya juu.

Mzee wa shit hole countries anarudi tujiandae kisaikolojia.
 
Hapa bongo Kuna madudu kwenye uchaguzi , unafkiri hata hizi media zinapata wapi ujasiri wa kutupasha taarifa.
 
Main media karibu zote, Magazeti karibu yote, TV stations karibu zote zinaripoti uchaguzi wa Marekani kwa undani kabisa, kuna chaneli zimekesha zinaripoti huo uchaguzi, lakini cha ajabu hapa kwetu hazina habari wala haziripoti uchaguzi ulio mitaani kwao. Huu ni unafiki wa hali ya juu.

Mzee wa shit hole countries anarudi tujiandae kisaikolojia.
Ndo maisha ya watanzania kiujumla
 
Wewe unaweza kuripoti hii aibu onayoendelea?
 
Hata kama ni mimi, nitapotezaje muda wangu kufuatilia uchaguzi wa Tandahimba ambako ni chama kimoja tu cha kijani kimeshiriki?
 
Main media karibu zote, Magazeti karibu yote, TV stations karibu zote zinaripoti uchaguzi wa Marekani kwa undani kabisa, kuna chaneli zimekesha zinaripoti huo uchaguzi, lakini cha ajabu hapa kwetu hazina habari wala haziripoti uchaguzi ulio mitaani kwao. Huu ni unafiki wa hali ya juu.

Mzee wa shit hole countries anarudi tujiandae kisaikolojia.
Huko hakuna drama sijui alikua akirudisha fomu ametekwa njiani sijui watu wanatengeneza drama wamekata mtu anataka kupiga kura mara mbili,katiby wa chama ana daftari anajumlisha matokeo upuuzi mwingi kwa vyama vya upinzani naunga mkono hata wangekesha siku mia!
 
Uko sahihi uchaguzi wetu ni drama tupu ni uchaguzi wa chama kimoja CCM, mtendaji anakimbia polini kukwepa fomu za wapinzani.
 
Media za Tanzania wanafiki sana, zimekesha kuripoti uchaguzi wa Marekani lkn hazina habari na uchaguzi wa Serikali za Mitaa
Kuna sababu 2 za wao kutojishughulisha kuripoti uchaguzi wa Tanzania:
1). Wanajua kinachofanyika siyo uchaguzi wa kweli bali ni udanganyifu, wizi wa kura, utapeli.
2). Hatari ya kutekwa kama wakifuatilia sana
 
Main media karibu zote, Magazeti karibu yote, TV stations karibu zote zinaripoti uchaguzi wa Marekani kwa undani kabisa, kuna chaneli zimekesha zinaripoti huo uchaguzi, lakini cha ajabu hapa kwetu hazina habari wala haziripoti uchaguzi ulio mitaani kwao. Huu ni unafiki wa hali ya juu.

Mzee wa shit hole countries anarudi tujiandae kisaikolojia.
Gentleman,
uchaguzi wa serikali za mitaa Tanzania ni November 27 na kampeni zitaanza Nov 20.2024.

Maamdalizi yote muhimu yamekamilika kinachosubiriwa ni kampeni hiyo Nov 20, na hatimae uchaguzi wenyewe Nov 27.

vyombo vya habari nchini viripoti nini tena badala ya kudeal na kuhabarisha uma mambo yanayoendelea maeneo mbalimbali nchini na duniani?🐒
 
Si tumeshakubaliana kua Tanzania hakuna uchaguzi bali uchafuzi?
Twendeni tuishi.
 
Chura kiziwi wa marekani anachinjiwa baharini muda mfupi ujao
 
Main media karibu zote, Magazeti karibu yote, TV stations karibu zote zinaripoti uchaguzi wa Marekani kwa undani kabisa, kuna chaneli zimekesha zinaripoti huo uchaguzi, lakini cha ajabu hapa kwetu hazina habari wala haziripoti uchaguzi ulio mitaani kwao. Huu ni unafiki wa hali ya juu.

Mzee wa shit hole countries anarudi tujiandae kisaikolojia.
1. Marekani kuna uchaguzi, Tanzania kuna uchafuzi
2. Hata kama kungekuwa na uchaguzi wa kiukweli hapa Tanzania, basi media zinge-cover lakini zisingeacha ku-cover uchaguzi wa Marekani ambao kwa baadhi ya watu hapa, una athari kubwa kuliko hata huo wa serikali ya kitaa.
 
Gentleman,
uchaguzi wa serikali za mitaa Tanzania ni November 27 na kampeni zitaanza Nov 20.2024.

Maamdalizi yote muhimu yamekamilika kinachosubiriwa ni kampeni hiyo Nov 20, na hatimae uchaguzi wenyewe Nov 27.

vyombo vya habari nchini viripoti nini tena badala ya kudeal na kuhabarisha uma mambo yanayoendelea maeneo mbalimbali nchini na duniani?🐒
Elimu ya uchaguzi wameshamaliza kwa wananchi wote?
 
Gentleman,
uchaguzi wa serikali za mitaa Tanzania ni November 27 na kampeni zitaanza Nov 20.2024.

Maamdalizi yote muhimu yamekamilika kinachosubiriwa ni kampeni hiyo Nov 20, na hatimae uchaguzi wenyewe Nov 27.

vyombo vya habari nchini viripoti nini tena badala ya kudeal na kuhabarisha uma mambo yanayoendelea maeneo mbalimbali nchini na duniani?🐒
Dogo,
Wewe dhambi zako ni kuu mno kuliko za
Mobutu Sese Seko Kuku Ngbendu wa za Banga
 
sasa wewe mdogo wake mungu makasiriko ni ya nini wakati macho na maskio ya ulimwengu mzima yako kwenye uchaguzi wa marekani..

eti wewe na huyo muungwana ndugu yako muwe mnaripoti uchaguzi wa serikali za mitaa Tanzania wa November 27,
huo si uchawi na ushirikina huo 🤣
 
Back
Top Bottom