Ndo maisha ya watanzania kiujumlaMain media karibu zote, Magazeti karibu yote, TV stations karibu zote zinaripoti uchaguzi wa Marekani kwa undani kabisa, kuna chaneli zimekesha zinaripoti huo uchaguzi, lakini cha ajabu hapa kwetu hazina habari wala haziripoti uchaguzi ulio mitaani kwao. Huu ni unafiki wa hali ya juu.
Mzee wa shit hole countries anarudi tujiandae kisaikolojia.
Wewe unaweza kuripoti hii aibu onayoendelea?Main media karibu zote, Magazeti karibu yote, TV stations karibu zote zinaripoti uchaguzi wa Marekani kwa undani kabisa, kuna chaneli zimekesha zinaripoti huo uchaguzi, lakini cha ajabu hapa kwetu hazina habari wala haziripoti uchaguzi ulio mitaani kwao. Huu ni unafiki wa hali ya juu.
Mzee wa shit hole countries anarudi tujiandae kisaikolojia.
Huko hakuna drama sijui alikua akirudisha fomu ametekwa njiani sijui watu wanatengeneza drama wamekata mtu anataka kupiga kura mara mbili,katiby wa chama ana daftari anajumlisha matokeo upuuzi mwingi kwa vyama vya upinzani naunga mkono hata wangekesha siku mia!Main media karibu zote, Magazeti karibu yote, TV stations karibu zote zinaripoti uchaguzi wa Marekani kwa undani kabisa, kuna chaneli zimekesha zinaripoti huo uchaguzi, lakini cha ajabu hapa kwetu hazina habari wala haziripoti uchaguzi ulio mitaani kwao. Huu ni unafiki wa hali ya juu.
Mzee wa shit hole countries anarudi tujiandae kisaikolojia.
Media zinawakilisha unafiki wa watanzaniaNdo maisha ya watanzania kiujumla
Uko sahihi uchaguzi wetu ni drama tupu ni uchaguzi wa chama kimoja CCM, mtendaji anakimbia polini kukwepa fomu za wapinzani.Huko hakuna drama sijui alikua akirudisha fomu ametekwa njiani sijui watu wanatengeneza drama wamekata mtu anataka kupiga kura mara mbili,katiby wa chama ana daftari anajumlisha matokeo upuuzi mwingi kwa vyama vya upinzani naunga mkono hata wangekesha siku mia!
Naam, hivi ndivyo tulivyoMedia zinawakilishwa unafiki wa watanzania
Kuna sababu 2 za wao kutojishughulisha kuripoti uchaguzi wa Tanzania:Media za Tanzania wanafiki sana, zimekesha kuripoti uchaguzi wa Marekani lkn hazina habari na uchaguzi wa Serikali za Mitaa
Gentleman,Main media karibu zote, Magazeti karibu yote, TV stations karibu zote zinaripoti uchaguzi wa Marekani kwa undani kabisa, kuna chaneli zimekesha zinaripoti huo uchaguzi, lakini cha ajabu hapa kwetu hazina habari wala haziripoti uchaguzi ulio mitaani kwao. Huu ni unafiki wa hali ya juu.
Mzee wa shit hole countries anarudi tujiandae kisaikolojia.
1. Marekani kuna uchaguzi, Tanzania kuna uchafuziMain media karibu zote, Magazeti karibu yote, TV stations karibu zote zinaripoti uchaguzi wa Marekani kwa undani kabisa, kuna chaneli zimekesha zinaripoti huo uchaguzi, lakini cha ajabu hapa kwetu hazina habari wala haziripoti uchaguzi ulio mitaani kwao. Huu ni unafiki wa hali ya juu.
Mzee wa shit hole countries anarudi tujiandae kisaikolojia.
Elimu ya uchaguzi wameshamaliza kwa wananchi wote?Gentleman,
uchaguzi wa serikali za mitaa Tanzania ni November 27 na kampeni zitaanza Nov 20.2024.
Maamdalizi yote muhimu yamekamilika kinachosubiriwa ni kampeni hiyo Nov 20, na hatimae uchaguzi wenyewe Nov 27.
vyombo vya habari nchini viripoti nini tena badala ya kudeal na kuhabarisha uma mambo yanayoendelea maeneo mbalimbali nchini na duniani?π
Dogo,Gentleman,
uchaguzi wa serikali za mitaa Tanzania ni November 27 na kampeni zitaanza Nov 20.2024.
Maamdalizi yote muhimu yamekamilika kinachosubiriwa ni kampeni hiyo Nov 20, na hatimae uchaguzi wenyewe Nov 27.
vyombo vya habari nchini viripoti nini tena badala ya kudeal na kuhabarisha uma mambo yanayoendelea maeneo mbalimbali nchini na duniani?π
Chura wetu yupo huko kumsaidia kuiba kura anafikiri kuna ujanja wa wanakimbia na mabox ya kura.Chura kiziwi wa marekani anachinjiwa baharini muda mfupi ujao
sasa wewe mdogo wake mungu makasiriko ni ya nini wakati macho na maskio ya ulimwengu mzima yako kwenye uchaguzi wa marekani..Dogo,
Wewe dhambi zako ni kuu mno kuliko za
Mobutu Sese Seko Kuku Ngbendu wa za Banga