Kwani Kikanusho anasemaje?Wanajua hadi idadi ya vifo vya wanafunzi wa Irani waliouawa jana umbali wa maelfu ya maili, lakini wanajifanya hawajui idadi ya vifo vya watoto waliouwawa Mwanza wakiangalia mpira.
Waandishi na Sympathizer wa Iran wanatoa machozi ya kinafiki kwa kifo cha Khamenei ambaye hawamjui wala yeye hawajui wanaacha kuwalilia ndugu zao waliouawa kinyama na serikali yao.
Hii inaitwa Gonzo Journalism, Crazy/Fool style of reporting, unaficha ya kwako unaripoti na unasema ya wenzako.
Mkuu hata ungekuwa wewe usingejaribuWanajua hadi idadi ya vifo vya wanafunzi wa Irani waliouawa jana umbali wa maelfu ya maili, lakini wanajifanya hawajui idadi ya vifo vya watoto waliouwawa Mwanza wakiangalia mpira.
Waandishi na Sympathizer wa Iran wanatoa machozi ya kinafiki kwa kifo cha Khamenei ambaye hawamjui wala yeye hawajui wanaacha kuwalilia ndugu zao waliouawa kinyama na serikali yao.
Hii inaitwa Gonzo Journalism, Crazy/Fool style of reporting, unaficha ya kwako unaripoti na unasema ya wenzako.
upotoshaji wa kilofa sana huu gentlemanWanajua hadi idadi ya vifo vya wanafunzi wa Irani waliouawa jana umbali wa maelfu ya maili, lakini wanajifanya hawajui idadi ya vifo vya watoto waliouwawa Mwanza wakiangalia mpira.
Waandishi na Sympathizer wa Iran wanatoa machozi ya kinafiki kwa kifo cha Khamenei ambaye hawamjui wala yeye hawajui wanaacha kuwalilia ndugu zao waliouawa kinyama na serikali yao.
Hii inaitwa Gonzo Journalism, Crazy/Fool style of reporting, unaficha ya kwako unaripoti na kusema ya wenzako.
Ukuu wa wilaya tunateuliwa hapa kwetu.Wanajua hadi idadi ya vifo vya wanafunzi wa Irani waliouawa jana umbali wa maelfu ya maili, lakini wanajifanya hawajui idadi ya vifo vya watoto waliouwawa Mwanza wakiangalia mpira.
Waandishi na Sympathizer wa Iran wanatoa machozi ya kinafiki kwa kifo cha Khamenei ambaye hawamjui wala yeye hawajui wanaacha kuwalilia ndugu zao waliouawa kinyama na serikali yao.
Hii inaitwa Gonzo Journalism, Crazy/Fool style of reporting, unaficha ya kwako unaripoti na kusema ya wenzako.
Media za TanzaniaWanajua hadi idadi ya vifo vya wanafunzi wa Irani waliouawa jana umbali wa maelfu ya maili, lakini wanajifanya hawajui idadi ya vifo vya watoto waliouwawa Mwanza wakiangalia mpira.
Waandishi na Sympathizer wa Iran wanatoa machozi ya kinafiki kwa kifo cha Khamenei ambaye hawamjui wala yeye hawajui wanaacha kuwalilia ndugu zao waliouawa kinyama na serikali yao.
Hii inaitwa Gonzo Journalism, Crazy/Fool style of reporting, unaficha ya kwako unaripoti na kusema ya wenzako.
upotoshaji wa kilofa sana huu gentleman
Taarifa za wenzao wanaona ndo za maana kurusha kuliko za kwao. Halafu utasikia mabeberu wanatuonea wivu wakati nyie wenyewe hamjithamini. Kwa vyombo vya bongo rai wa Teheranj anathamani kuliko mtanzaniaWanajua hadi idadi ya vifo vya wanafunzi wa Irani waliouawa jana umbali wa maelfu ya maili, lakini wanajifanya hawajui idadi ya vifo vya watoto waliouwawa Mwanza wakiangalia mpira.
Waandishi na Sympathizer wa Iran wanatoa machozi ya kinafiki kwa kifo cha Khamenei ambaye hawamjui wala yeye hawajui wanaacha kuwalilia ndugu zao waliouawa kinyama na serikali yao.
Hii inaitwa Gonzo Journalism, Crazy/Fool style of reporting, unaficha ya kwako unaripoti na kusema ya wenzako.
They're all hypocrites, kama hata kuelezea watu wa nchini mwao wakitekwa huwa hawafanyi hivyo, yakafanyika mauaji ya halaiki yakawa international news hawakuripoti yaani ikawa kama hakuna kilichotokea sasa hayo ya Iran yana umuhimu zaidi ya yanayotokea Tanzania?Wanajua hadi idadi ya vifo vya wanafunzi wa Irani waliouawa jana umbali wa maelfu ya maili, lakini wanajifanya hawajui idadi ya vifo vya watoto waliouwawa Mwanza wakiangalia mpira.