Media za Tanzania zinaripoti mauaji ya Iran, ya 29/10 hawakuyaona?

Quinine

Platinum Member
Joined
Jul 26, 2010
Posts
25,848
Reaction score
63,306
Wanajua hadi idadi ya vifo vya wanafunzi wa Irani waliouawa jana umbali wa maelfu ya maili, lakini wanajifanya hawajui idadi ya vifo vya watoto waliouwawa Mwanza wakiangalia mpira.

Waandishi na Sympathizer wa Iran wanatoa machozi ya kinafiki kwa kifo cha Khamenei ambaye hawamjui wala yeye hawajui wanaacha kuwalilia ndugu zao waliouawa kinyama na serikali yao.

Hii inaitwa Gonzo Journalism, Crazy/Fool style of reporting, unaficha ya kwako unaripoti na kusema ya wenzako.
 
Hii inaitwa Gonzo Journalism, Crazy/Fool style of reporting, unaficha ya kwako unaripoti na unasema ya wenzako.
Kwani Kikanusho anasemaje?
 
Mkuu hata ungekuwa wewe usingejaribu
 
Kwa hali tuliyokuwanayo nani angesubutu? wakalaumu ni samia na genge lake la ccm wanaokandamiza media.utekaji na mauaji nani angethubutu kuripoti ktk nch inayoongozwa na genge la wahuni
 
Wanajua hadi idadi ya vifo vya wanafunzi wa Irani waliouawa jana umbali wa maelfu ya maili, lakini wanajifanya hawajui idadi ya vifo vya watoto waliouwawa Mwanza wakiangalia mpira.

Waandishi na Sympathizer wa Iran wanatoa machozi ya kinafiki kwa kifo cha Khamenei ambaye hawamjui wala yeye hawajui wanaacha kuwalilia ndugu zao waliouawa kinyama na serikali yao.

Hii inaitwa Gonzo Journalism, Crazy/Fool style of reporting, unaficha ya kwako unaripoti na kusema ya wenzako.
upotoshaji wa kilofa sana huu gentleman
 
Walituudhi sana kwa ushenzi waliotufanyia octoba 29 waliacha kuripoti varangati lile kijuha sana, wananchi tukawa tunahangaika kupata habari kwa shida toka media za nje nazo zilifungiwa tukawa hatujui kinachoendelea nchini wakati huohuo internet nayo ikiwa imefungwa. Ati leo wanaonyesha ya iran wakati hawakuonesha ya kwao, shame on them!
 
Wanajua hadi idadi ya vifo vya wanafunzi wa Irani waliouawa jana umbali wa maelfu ya maili, lakini wanajifanya hawajui idadi ya vifo vya watoto waliouwawa Mwanza wakiangalia mpira.

Waandishi na Sympathizer wa Iran wanatoa machozi ya kinafiki kwa kifo cha Khamenei ambaye hawamjui wala yeye hawajui wanaacha kuwalilia ndugu zao waliouawa kinyama na serikali yao.

Hii inaitwa Gonzo Journalism, Crazy/Fool style of reporting, unaficha ya kwako unaripoti na kusema ya wenzako.
Ukuu wa wilaya tunateuliwa hapa kwetu.
 
Media za Tanzania
Screenshot_20260117-171041~2.png
 
Hao toilet paper wa CCM wameshindwa kudocument ndugu zetu waliopigwa risasi ardhini wanajidai sasa ni mabingwa wa kujadili habari za makombora na mfumo wa ulinzi wa anga ambao Tanzania haina.

Nimewashangaa sana , na wanafikiri tumesahau unafiki wao wa kusema kwamba mitandao ilizimwa , kwanini hawajaungana kushtaki serikali haramu kwa kuzima mtandao wakati wa janga kama lile.
 
Wanajua hadi idadi ya vifo vya wanafunzi wa Irani waliouawa jana umbali wa maelfu ya maili, lakini wanajifanya hawajui idadi ya vifo vya watoto waliouwawa Mwanza wakiangalia mpira.

Waandishi na Sympathizer wa Iran wanatoa machozi ya kinafiki kwa kifo cha Khamenei ambaye hawamjui wala yeye hawajui wanaacha kuwalilia ndugu zao waliouawa kinyama na serikali yao.

Hii inaitwa Gonzo Journalism, Crazy/Fool style of reporting, unaficha ya kwako unaripoti na kusema ya wenzako.
Taarifa za wenzao wanaona ndo za maana kurusha kuliko za kwao. Halafu utasikia mabeberu wanatuonea wivu wakati nyie wenyewe hamjithamini. Kwa vyombo vya bongo rai wa Teheranj anathamani kuliko mtanzania
 
Wanajua hadi idadi ya vifo vya wanafunzi wa Irani waliouawa jana umbali wa maelfu ya maili, lakini wanajifanya hawajui idadi ya vifo vya watoto waliouwawa Mwanza wakiangalia mpira.

Waandishi na Sympathizer wa Iran wanatoa machozi ya kinafiki kwa kifo cha Khamenei ambaye hawamjui wala yeye hawajui wanaacha kuwalilia ndugu zao waliouawa kinyama na serikali yao.

Hii inaitwa Gonzo Journalism, Crazy/Fool style of reporting, unaficha ya kwako unaripoti na kusema ya wenzako.
They're all hypocrites, kama hata kuelezea watu wa nchini mwao wakitekwa huwa hawafanyi hivyo, yakafanyika mauaji ya halaiki yakawa international news hawakuripoti yaani ikawa kama hakuna kilichotokea sasa hayo ya Iran yana umuhimu zaidi ya yanayotokea Tanzania?
 
Back
Top Bottom