Media za Tanzania zinaweza kufa kipindi hiki cha miaka mitano ya CCM

Kile unachokiwaza wewe hakiwazwi na wengine mi naona ndo yatauzika Sana Tena Sana kwani wasomaji walikuwa Ni Upinzani?
Rudia kusoma tena, sidhani kama umeelewa mada, Mataga bhana
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mkuu angalia basi hata TBC1 uone walivyotekeleza kwa kishindo
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Kifo cha media nyingi kisitazamwe kwa mtazamo mfupi,automatically kitaua fani na umahiri wa waandishi,hasa habari za uchunguzi.Magazeti mengi yanapokufa hupunguza ajira nyingi za watu,huondoa ujuzi na ubunifu wa kazi za uandishi,kazi za uchapishaji usambazaji na uuzaji,athari zake ni kubwa kwa jamii
 
Masanja anasherehekea ongezeko kubwa la followers kwenye Instagram yake kwa kipindi cha miezi mitatu relate these to your post
 
Haya mambo ya kisiasa ni ya hovyo sana,siasa huinua na pia siasa hushusha,hapa ni haiba na utashi tu wa mtawala aliyeko madarakani.Kuua media moja kunaharibu mfumo wa ajira za familia nyingi pamoja na vipaji vya waandishi na wachoraji,pia kuna makampuni ya uchapaji kukosa kazi na mapato kupungua.Viwanda vya makaratasi ya kuchapia kukosa wateja.Wanasiasa wanabomoa wakifikiri wanajenga
 
Masanja anasherehekea ongezeko kubwa la followers kwenye Instagram yake kwa kipindi cha miezi mitatu relate these to your post
Masanja anafanya upuuzi usio na tija kwa taifa think big you people aisee Tanzania ni nchi ya wajinga Sana.
 
Mimi nilipenda kusoma vitabu kupitia gazeti la raia mwema la jenerali ulimwengu kupitia kusoma vitabu nilipata bahati ya kwenda mpaka ulaya miaka sita Leo hii magazeti ya Aina ile hayapo naona habari za kuisifu CCM tu huu ni ujinga wa taifa upuuzi wa kiwango Cha mwisho na haina tija kwa taifa kabisa.
 
Imagine taifa ambalo gvt inafunga mtandao kisa tu vyombo vya usalama vinadhibiti matakwa ya mtu mmoja tu Kati ya watu milioni 60 hili ni taifa la kipumbavu kwa viwango vyote vya ulimwenguni imagine mtandao unaleta kipata Cha watu milioni tano kwenye taifa halafu unaufunga ili kibaba kimoja chenye watoto Kama sisi tukipe mamlaka ya kutuongoza aisee miaka kumi ijayo mliofunga mtandao Leo mtajidharau Sana kukaona kababa hako kamezeeka maisha c milele acheni watu wafurahie nchi Yao msitutese kwa jinai zenu.
 
Hivi kwanini tupo hivi? Kwani miaka yote iliyopita Chama gani kiliongoza? Hakuwa na vyombo vya habari? Binafsi natamani sana tulete Hoja zenye kujenga kuliko ujinga huu!
 
Jipe pole wewe
 
Unapinga au unakubali hoja ?
Hivi kwanini tupo hivi? Kwani miaka yote iliyopita Chama gani kiliongoza? Hakuwa na vyombo vya habari? Binafsi natamani sana tulete Hoja zenye kujenga kuliko ujinga huu!
 
Kielelezo Cha ujinga hapa tz utakipata kwa wafuasi wa chadema na wafuasi wa lisu.
Wanaojaribu kupunguza nguvu za watesi wa taifa mnawaona wabaya wakati hawana hata mbwa wa polisi subirini dola ikose mtu wa kuwakemea mtamtafuta mbowe hamtamuona mtatamani kupindua serikali. Waliofikiria kuwe na mfumo wa multi partism sio wajinga ila kwakuwa mnajenga mfumo utakaoumiza watoto wetu sote wenu na wetu haina shida acha maisha yaendelee.
 
Yote haya unayanena kwasababu kura hazikutosha upande wa chadema, laiti Kama zingetosha Wala usingesema
 
Zife tu wakose kazi na mitaji ife, walidhani watakufa CDM tu? Tutajifunza siku nyingine kuwaza madhara ya tunayoyashabikia in the long run.
 
Hayo unayo yasema sio habarinya kila siku
 
Sasa hapo unazungumzia media house, sijui kwa hawa media workers 'waandishi' maana press zina_freez na kualikwa hakupo vile waaandishi wengi wanavyojichukua na hawapendi kujiongeza na field nyingine, [emoji16] dadadeki!.
Watafungua Youtube Channels[emoji28]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…