nadhani ianzishwe thread ya Picha kama ilivyo ya picha mama Michele Obama, iwe ni update za picha Dr. Slaa Tu
View attachment 12153View attachment 12152
Hizo Ngwanda nitazipata wapi? Wanapendeza, na ilo "NYOMI" ni ujumbe tosha
Asante IPP Media
Wewe unaona ni wapiga kura au?ni wapiga kura? au wanahudhuria kama vile tamasha la fiesta?
nadhani ianzishwe thread ya Picha kama ilivyo ya picha mama Michele Obama, iwe ni update za picha Dr. Slaa Tu