Media zinabana picha za matukio ya mikutano ya Dr. Slaa?

Media zinabana picha za matukio ya mikutano ya Dr. Slaa?

Ilulu

Senior Member
Joined
Mar 22, 2008
Posts
161
Reaction score
31
attachment.php


attachment.php


Hizo Ngwanda nitazipata wapi? Wanapendeza, na ilo "NYOMI" ni ujumbe tosha
Asante IPP Media
 

Attachments

  • Slaa%20Ar(1).jpg
    Slaa%20Ar(1).jpg
    18.6 KB · Views: 661
  • Mkusa.jpg
    Mkusa.jpg
    27.2 KB · Views: 437
nadhani ianzishwe thread ya Picha kama ilivyo ya picha mama Michele Obama, iwe ni update za picha Dr. Slaa Tu
 
nadhani ianzishwe thread ya Picha kama ilivyo ya picha mama Michele Obama, iwe ni update za picha Dr. Slaa Tu

....ni wazo zuri,mods nao wajaribu kulifanyia kazi kwani tunahitaji taarifa za kutosha tunapoelekea kwenye uchaguzi mkuu.
 
Ni tatizo la hawa CCM wameingia kila sehemu hadi media unategemea wataziweka lini?
 
Nyomi zinazokuwa ktk mikutano ya Dr.Slaa ni za kutisha jamani,nilibahatika kuhudhuria mkutano mmoja ambao ulifanyika Mbeya-it was like the whole town was there bana.Pamoja na baridi yote iliyokuwepo watu hawakuiona(nikiwemo) walienda kmsikiliza mtu aliyetumwa kuja kuikomboa tanzania.Lets vote for this guy muda ukifika hapo oktoba 31,2010!
C-chagua
H-haki
A-amani
D-demokrasia
E-elimu
MA-maendeleo.
Hiyo ndo maana ya CHADEMA!!!!
Nawakilisha...
 
Inawezekana wameenda kushangaa helcopter tu halafu wakishapewa t-shirts, kanga na kofia wanavote for ccm
 
WINGI WA WATU SI UPIGAJI KURA WENGI WATOTO NA WENGINE HAWANA SHAHADA SANA WANAFURAHIA KUSIKILIZA MATUSI KWANI NI NADRA SANA KUSIKIA MTU MZIMA KAMA SLAA AKIONGEA MATUSI NA KASHFA. SANA BAADHI YA WATU TULITEGEMEA ANGEKUWA NA SERA IMEKUWA KINYUME :glasses-nerdy:
 
nadhani ianzishwe thread ya Picha kama ilivyo ya picha mama Michele Obama, iwe ni update za picha Dr. Slaa Tu

Zinatakiwa zitoke na kwenye print media pia kwani si watanzania wote wana access internet!
 
Back
Top Bottom