Bakulutu
JF-Expert Member
- Nov 30, 2011
- 2,557
- 1,787
Habari wakuu,
Niko hapa rasmi kuitangaza hii system kwa ajili ya kuweka 'Appointment' na daktari ambayo inauzwa.
Ni system yenye uwezo wa hali ya juu na ya kisasa ambayo ina fanya mambo ya fuatayo:
1.Mtuamia anaweza ku 'search' daktari kwa jina au kulingana na tatizo lake.
2.Ina uwezo wa kuonyesha madaktari wote kulingana na tatizo ulilo 'search' na ratiba zake zote na kuweza kuchagua ratiba na kufanya booking..
3.Mtumiaji anaweza fanya booking yeye au kumfanyia mwingine/mgonjwa mwingine asiekuwepo kwnye system.
4.Inaonyesha bei ya kuonana na daktari.
5.Inakutumia booking status yako kwenye email yako na pia una uwezo wa ku set reminder .
6.Powerfully admin pannel kwa kubadlisha ratiba na chochote utakacho taka kibalike.
7.Doctors login area n.k
8.ina simple and secured communication protocols na ni user friend.
9.Rahisi ku reset password yako kama umesahau.
ANGALIA DEMO HAPA: Appointment System
More web Portal for your business: MrinaUpdates