A
Anonymous
Guest
Kwa zamani ilikua ikijulikana kwa jina la Medical Attendant, hii kada imekosa watetezi kama ilivyo kwa wauguzi wanachama chao kanachojulikana kwa TANA hadi kadhalika kada zingine za afya.
Hii inatufanya sisi kukosa watetezi au wasemaji wa kada hii. Pia katika upandaji wa madaraja kada hii wanapanda madaraja matatu tu ya mishahara ukilinganisha na kada nyingine ambazo wao wanapanda hadi madaraja matano ya mishahara.
Je, hii ni sawa kwa kada hii?