TIMING
JF-Expert Member
- Apr 12, 2008
- 28,186
- 15,549
Mkuu Invisible wala huna sababu ya kuogopa hiki kipimo,ni kati ya vipimo vya kawaida kabisa.Wanasema kawaida ukifikisha miaka 50 lakini mimi nakushauri mkuu kama ushafika 40 basi nenda kamuone daktari wako akufanyie pamoja na serum PSA levels kwa ajili ya prostate diseases hasa prostatic carcinoma manake ni tatizo kubwa sana la jinsia yetu na wanasema the earlier the diagnosis the betta the prognosis after treatment.
Fanya hima mkuu for ur own sake
Thanks P'
Hii ha kuanzia 40 years ni msingi zaidi, Kuna haja ya msingi ya kutoa hii elimu maana kwa tanzania hili bado halina mwamko, na pia kuna dhana potofu kwamba wengi wenye enlarged prostate ni mabasha!!
nadhani kuna haja ya mass public education ambayo itahamasisha hata akina mama kuhakikisha wanaume zao wanachekiwa ili wasiwatese badae. Movements kama za cervical na breast cancer zinahitaji kuigwa hasa kwa sie tulio katika emergency health care system muda wote [poor countries].
Je sasa kwenye serum PSA, tuna vitendea kazi kweli?
Mleta mada amenifurahisha sana kwa kuleta hii mada maana kuna mengi kuhusu afya ya msingi huwa hatuyatupii macho
MTM