Medical checkup kabla ya kazi imekaaje hii?

Medical checkup kabla ya kazi imekaaje hii?

hooligan01

JF-Expert Member
Joined
Nov 21, 2013
Posts
664
Reaction score
539
Samahanini wandugu humu,

Nilipenda kuuliza katika kuomba kazi kabla ya mkataba kuna iki kipengele kabla ya kupewa mkataba ni cha medical checkups hivi ni wanaangalia nini na nini katika hiyo checkups lyk magonjwa specifia au full kila kitu au physical checkups like blood group,uwezo wa macho nk...na je wanafanya kampuni husika au wanakukabidhi form tu uendenayo hospital wewe?
 
Samahanini wandugu humu....nilipenda kuuliza katika kuomba kazi kabla ya mkataba kuna iki kipengele kabla ya kupewa mkataba cha medical checkups ivi ni wanaangalia nini na nini na je wanafanya kampuni husika au wanakukabidhi form tu
1. Ukimwi
2. Kaswende
3. Gonolea
4. Pressure
5 . Nadhani na Corona kwa sasa
6. Wanapima akili na nguvu za kiume basi

Kumbuka kati ya ayo magonjwa tajwa hapo juu ukipatikana na mojawapo kazi upati tena

Wanapima wao wenyewe, hwakupi form uende nayo utawadanganya

Sent using komputa mpakato
 
kikoozi,
Nashukuru na ivi wanakupa majibu au unasikia juu juu kama umepata au aujapata kazi afu majibu wanabaki nayo wao
 
Samahanini wandugu humu....nilipenda kuuliza katika kuomba kazi kabla ya mkataba kuna iki kipengele kabla ya kupewa mkataba ni cha medical checkups ...hivi ni wanaangalia nini na nini katika hiyo checkups lyk magonjwa specifia au full kila kitu au physical checkups like blood group,uwezo wa macho nk...na je wanafanya kampuni husika au wanakukabidhi form tu uendenayo hospital wewe?
Medical check up wanagharamia kampuni wana hospital zao walizoingia nazo mkataba au ya kampuni.
N.B:Ukiona kampuni inakwambia ulipie gharama za medical check up jua kuna harufu ya utapeli 100%.
Vitu wanavyoangalia no
1.Uwezo wa kuona (Macho)
2.Uwezo wa kusikia
3.Unapigwa X-ray ya mapafu (upumuaji)
4.Magonjwa mengine ya kuambukiza au allergic diseases.

Kwenye medical check up nyingi hawatoi majibu kama umepita check p uaanza kazi.
 
Medical check up wanagharamia kampuni wana hospital zao walizoingia nazo mkataba au ya kampuni.
N.B:Ukiona kampuni inakwambia ulipie gharama za medical check up jua kuna harufu ya utapeli 100%.
Vitu wanavyoangalia no
1.Uwezo wa kuona (Macho)
2.Uwezo wa kusikia
3.Unapigwa X-ray ya mapafu (upumuaji)
4.Magonjwa mengine ya kuambukiza au allergic diseases.

Kwenye medical check up nyingi hawatoi majibu kama umepita check p uaanza kazi.
Shukrani mzee....umenifungua
 
Back
Top Bottom