hooligan01
JF-Expert Member
- Nov 21, 2013
- 664
- 539
1. UkimwiSamahanini wandugu humu....nilipenda kuuliza katika kuomba kazi kabla ya mkataba kuna iki kipengele kabla ya kupewa mkataba cha medical checkups ivi ni wanaangalia nini na nini na je wanafanya kampuni husika au wanakukabidhi form tu
mkuu, kwema lakini ?Nashukuru na ivi wanakupa majibu au unasikia juu juu kama umepata au aujapata kazi afu majibu wanabaki nayo wao
Kwema mzee nataka nijue tu maana ili swala geni kwangu nimefanya kazi apo awali hakukuwa na hiki kitu ilikuwa ukipta oral mkatabamkuu, kwema lakini ?
Medical check up wanagharamia kampuni wana hospital zao walizoingia nazo mkataba au ya kampuni.Samahanini wandugu humu....nilipenda kuuliza katika kuomba kazi kabla ya mkataba kuna iki kipengele kabla ya kupewa mkataba ni cha medical checkups ...hivi ni wanaangalia nini na nini katika hiyo checkups lyk magonjwa specifia au full kila kitu au physical checkups like blood group,uwezo wa macho nk...na je wanafanya kampuni husika au wanakukabidhi form tu uendenayo hospital wewe?
Shukrani mzee....umenifunguaMedical check up wanagharamia kampuni wana hospital zao walizoingia nazo mkataba au ya kampuni.
N.B:Ukiona kampuni inakwambia ulipie gharama za medical check up jua kuna harufu ya utapeli 100%.
Vitu wanavyoangalia no
1.Uwezo wa kuona (Macho)
2.Uwezo wa kusikia
3.Unapigwa X-ray ya mapafu (upumuaji)
4.Magonjwa mengine ya kuambukiza au allergic diseases.
Kwenye medical check up nyingi hawatoi majibu kama umepita check p uaanza kazi.