Medical consultation

Medical consultation

Dawa hizo ni Sidenafil Citrate ila zinakuwa branded kama Viagra,Kamagra etc na pharmacy zipo ndio.Ila hii njia ina matokeo mabaya mbeleni
 
usitumie hizo mkuu, utakuwa teja wa hizo dawa milele na madhara yake ni makubwa kuliko unavyowaza.

Boresha lishe, punguza mawazo, fanya mazoezi achana na hizi dawa ni sumu!
 
Dawa hizo ni Sidenafil Citrate ila zinakuwa branded kama Viagra,Kamagra etc na pharmacy zipo ndio.Ila hii njia ina matokeo mabaya mbeleni

Unaweza kupata shinikizo la damu sio nzuri kiujumla kama bado ni kijana tumia mchanganyiko wa asali, mdalasini na saga mbegu za kokumanga unywe kila siku.
 
Back
Top Bottom