Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hivi hamwezi kuanzisha MCZ?Nyie wenyewe wabaguzi kwa watu wabara kuliko maelezo, Mtu kutoka bara kwa unguja kufanya kazi kwa level ya meneja ni zaidi ya kuwa adui . Wakenya wanafanya kazi kwa amani kuliko sisi ndg zenu wa bara au Tanganyika kama mnavyopenda kutuita. Usimweleze chochote staff kesho yake utaona coaster nzima na watu kibao wanakujia na lugha nyepesiii eti umesema hutaki kufanya kazi na wazanzibar,
Alafu mnalia kubaguliwa wakati mmejazana huko bara, ukienda Kigamboni huko utafikiri Mwera, au machui, au jambiani.
Acheni kutumia lugha za ubaguzi kila kitu tunabaguliwa, wewe kama Dr umesjindwa hata kupiga simu ukauliza na kupata maelezo sahihi unakimbilia huku mitandaoni.
Aisee mimi na wamaindi sana make mlininyanyasa huko kwenu, mara siyo mtanzania, mara sijui nini kisa tu nimeajiriwa kutoka bara, ili hali kuna watu kutoka sehemu mbalimbali na wanafanya kazi, wakenya,waganda,wacuba,wahispania, nk lkn sisi wa kutoka bara hamtaki kutisikia
Unashindwa kuelewa kuwa hao ni wabara ambao wapo muda mrefu pale zanzibar pengine tokea utoto wao au walizaliwa hapo lakini asili yao ni wabara.Tukisema Wabara hawaajiriwi Zanzíbar inakiwahaileti picha kamili, ninao ushahidi wa Wabara kibao kwenye smz hususan vikosi vyao, kama jawaajiriwi ilikuwaje Mwinyi (baba) na Jumbe wakaupata uraisi ?
Sisemi kuwa ni rahisi, ila wapo na wanaendelea kukiwepo , ushahidi UPO na Wazanzibari wenyewe wanalijua hilo.
Mkuu acha tu, Mimi Kama wewe Kuna siku police kanihoji kwa nini natumia leseni ya JMT ?nikamjibu leseni yangu inaniruhusu kutumia Tanganyika na Zanzibar.Na Mimi nikamuliza wewe Afande unalipwa na JMT au SMZ,akanijibu nisimfundishe kazi na Mimi nikamwambia leseni sibadilishi labda aombe muungano ivunjwe na wewe ulipwe na SMZ hapo nitabadilisha.Siongei kwa kufurahisha jukwaa bali naongea yalionikuta mimi mwenyewe, ofisi yangu iliamia kwenye ofisi za serikali, kuanzia kwa shekha mpaka kwa Commissioner. Hivo wewe amini tu hivo, Mzanzibar anafungua bar na anauza pombe, wewe kutoka bara ukufungua bar au restaurant eneo lile lile unaambiwa hii ni nchi ya kiislam sasa unabaki unajiuliza hivi hawa watu wanajua huyu Mungu wanaye mtumikia au wanatumikia dini yenye lugha ya fulani. Zanzibar ukitaka uishi vizuri labda uwe kibarua na usiyeingilia masilahi yao wakuite mnyamwezi basi.
Nimewahi kushudia mtu amegongwa na gari na hajafa anaomba msaada lkn wanakuja wanachungulia tu nakusema huyu ni mnyamwezi, unabaki unajiuliza mnyamwezi siyo mtu? Siyo binadamu?
Kuna rafiki yangu ana kampuni ya Safety na Risk assesment aliwahi kupata tenda kukagua usalama wa minara ya simu ya kampuni fulani, kuanzia bara mpaka Unguja lakini kwa Unguja ilishindikana, ikabidi aingie tena ubia na kampuni iliyoko Unguja. Hawa watun wanafursa nyingi sana lakini haziwatumii wamekalia chuki, majungu na ubinafsi. Wapemba wanamaendeleo kulikuwa wazawa wa unguja.
Ukiwa bara unaweza kuamini kwamba kuna Muungano lakini ukija huku unagundua muungano upo kwenye makaratasi. Mimi nimewahi kukamatwa mara kibao nnikiendesha gari kwa kutumia leseni ya Jamhuri Ya Muungano wa Tanzania, naambiwa natakiwa niwe na leseni ya Zanzibar. Mimi situmii leseni ya Tanganyika natumia leseni ya JMT nakamatwa na askari polisi ambaye ana nembo ya JMT, does it make sense?
Wanzazibar mfunguliwe maana ni watanzania kama wengine. Ole nikienda Zenj mtu anisumbue...maana nyie watu hamueleweki kabisa 😂 😂 😂 😂 😂Nafahamu kwamba swala LA afya sio issue ya Muungano, ila lwanini sisi Wazanzibar tuliokuwa hatuna leseni za MCT mmefunga mfumo wenu wa usajili?
Mnajua kabisa usipokuwa na l
Leseni ya MCT huwezi kuomba hizi ajira mpya sasa kwanini msitufungulie tuombe?
MCT acheni hujuma, hizo ajira kila MTU ana haki ya kuomba tufungulieni system tuimbe leseni
Je leseni Yao huku inatumika ? Hilo ni moja Kati ya changamoto (Kwa maoni yangu) , Mimi niliwahi kukaa Arusha ila nao (baadhi yao walinibagua) je MACHUGA wote wabaguzi ? Nilikaa mara mbili kule kifuatilia ishu fulani hivi, na kuna mshkaji wangu mmoja karibia wamtie matatizoni kwa kusema si raia 'a jamaa ni Mzaramo wa Ruvu....Siongei kwa kufurahisha jukwaa bali naongea yalionikuta mimi mwenyewe, ofisi yangu iliamia kwenye ofisi za serikali, kuanzia kwa shekha mpaka kwa Commissioner. Hivo wewe amini tu hivo, Mzanzibar anafungua bar na anauza pombe, wewe kutoka bara ukufungua bar au restaurant eneo lile lile unaambiwa hii ni nchi ya kiislam sasa unabaki unajiuliza hivi hawa watu wanajua huyu Mungu wanaye mtumikia au wanatumikia dini yenye lugha ya fulani. Zanzibar ukitaka uishi vizuri labda uwe kibarua na usiyeingilia masilahi yao wakuite mnyamwezi basi.
Nimewahi kushudia mtu amegongwa na gari na hajafa anaomba msaada lkn wanakuja wanachungulia tu nakusema huyu ni mnyamwezi, unabaki unajiuliza mnyamwezi siyo mtu? Siyo binadamu?
Kuna rafiki yangu ana kampuni ya Safety na Risk assesment aliwahi kupata tenda kukagua usalama wa minara ya simu ya kampuni fulani, kuanzia bara mpaka Unguja lakini kwa Unguja ilishindikana, ikabidi aingie tena ubia na kampuni iliyoko Unguja. Hawa watun wanafursa nyingi sana lakini haziwatumii wamekalia chuki, majungu na ubinafsi. Wapemba wanamaendeleo kulikuwa wazawa wa unguja.
Ukiwa bara unaweza kuamini kwamba kuna Muungano lakini ukija huku unagundua muungano upo kwenye makaratasi. Mimi nimewahi kukamatwa mara kibao nnikiendesha gari kwa kutumia leseni ya Jamhuri Ya Muungano wa Tanzania, naambiwa natakiwa niwe na leseni ya Zanzibar. Mimi situmii leseni ya Tanganyika natumia leseni ya JMT nakamatwa na askari polisi ambaye ana nembo ya JMT, does it make sense
sio kweli huku bara hakuna mzanzibar anasumbuliwa kwa lolote mnanunua ardhi mnafungua maduka na tunawaunga mkono hadi kuna msemo maarufu dukani kwa mpemba au mchaga manake mko wengi hukuLe
Je leseni Yao huku inatumika ? Hilo ni moja Kati ya changamoto (Kwa maoni yangu) , Mimi niliwahi kukaa Arusha ila nao (baadhi yao walinibagua) je MACHUGA wote wabaguzi ? Nilikaa mara mbili kule kifuatilia ishu fulani hivi, na kuna mshkaji wangu mmoja karibia wamtie matatizoni kwa kusema si raia 'a jamaa ni Mzaramo wa Ruvu....
Mi si Mzenji ni MTU wa pwani, nakwambia yaliyonikuta Mimi na mshkaji wangu Arusha kwenye mishe za maisha..... Sasa hivi mshkaji wangu kapata bahati yupo Zenji ana kiji Lodge chake ..... Wacha tupige kelele tu (Zanzíbar naijua vizuri tu ). Ukijifanya WA mjini hutowezana nao kabisa !!! Mi nina kijumba changu huko (Nungwii) !! Natarajia msimu WA utalii ukianza nikodishe wageni....sio kweli huku bara hakuna mzanzibar anasumbuliwa kwa lolote mnanunua ardhi mnafungua maduka na tunawaunga mkono hadi kuna msemo maarufu dukani kwa mpemba au mchaga manake mko wengi huku
Wewe Mzenji unajifaragua tu! Hakuna wabaguzi kama waunguja hapa dunianiMi si Mzenji ni MTU wa pwani, nakwambia yaliyonikuta Mimi na mshkaji wangu Arusha kwenye mishe za maisha..... Sasa hivi mshkaji wangu kapata bahati yupo Zenji ana kiji Lodge chake ..... Wacha tupige kelele tu (Zanzíbar naijua vizuri tu ). Ukijifanya WA mjini hutowezana nao kabisa !!! Mi nina kijumba changu huko (Nungwii) !! Natarajia msimu WA utalii ukianza nikodishe wageni....
Sawa, wewe ndo unanijua zaidi ya ninavyojijua ......Wewe Mzenji unajifaragua tu! Hakuna wabaguzi kama waunguja hapa duniani
sio kweli huku bara hakuna mzanzibar anasumbuliwa kwa lolote mnanunua ardhi mnafungua maduka na tunawaunga mkono hadi kuna msemo maarufu dukani kwa mpemba au mchaga manake mko wengi huku
Jamanii🤔Sio MCT tu hata TLS hamtakiwi sijui kinawasumbuq nininkutaka kujiunga vyama vya watanganyika
Nyinyi ndo mnaongoza kwa ubaguzi katika ajiraAcha ubaguzi mkuu
MCT = Media council of Tanzania?Nafahamu kwamba swala LA afya sio issue ya Muungano, ila lwanini sisi Wazanzibar tuliokuwa hatuna leseni za MCT mmefunga mfumo wenu wa usajili?
Mnajua kabisa usipokuwa na l
Leseni ya MCT huwezi kuomba hizi ajira mpya sasa kwanini msitufungulie tuombe?
MCT acheni hujuma, hizo ajira kila MTU ana haki ya kuomba tufungulieni system tuimbe leseni
Nakusoma mkuu.Siongei kwa kufurahisha jukwaa bali naongea yalionikuta mimi mwenyewe, ofisi yangu iliamia kwenye ofisi za serikali, kuanzia kwa shekha mpaka kwa Commissioner. Hivo wewe amini tu hivo, Mzanzibar anafungua bar na anauza pombe, wewe kutoka bara ukufungua bar au restaurant eneo lile lile unaambiwa hii ni nchi ya kiislam sasa unabaki unajiuliza hivi hawa watu wanajua huyu Mungu wanaye mtumikia au wanatumikia dini yenye lugha ya fulani. Zanzibar ukitaka uishi vizuri labda uwe kibarua na usiyeingilia masilahi yao wakuite mnyamwezi basi.
Nimewahi kushudia mtu amegongwa na gari na hajafa anaomba msaada lkn wanakuja wanachungulia tu nakusema huyu ni mnyamwezi, unabaki unajiuliza mnyamwezi siyo mtu? Siyo binadamu?
Kuna rafiki yangu ana kampuni ya Safety na Risk assesment aliwahi kupata tenda kukagua usalama wa minara ya simu ya kampuni fulani, kuanzia bara mpaka Unguja lakini kwa Unguja ilishindikana, ikabidi aingie tena ubia na kampuni iliyoko Unguja. Hawa watun wanafursa nyingi sana lakini haziwatumii wamekalia chuki, majungu na ubinafsi. Wapemba wanamaendeleo kulikuwa wazawa wa unguja.
Ukiwa bara unaweza kuamini kwamba kuna Muungano lakini ukija huku unagundua muungano upo kwenye makaratasi. Mimi nimewahi kukamatwa mara kibao nnikiendesha gari kwa kutumia leseni ya Jamhuri Ya Muungano wa Tanzania, naambiwa natakiwa niwe na leseni ya Zanzibar. Mimi situmii leseni ya Tanganyika natumia leseni ya JMT nakamatwa na askari polisi ambaye ana nembo ya JMT, does it make sense?
Serikali moja itafaa, hakuna haja ya kuwa na rais zenj, wakati kuna rais wa JMT.. Rais awe mmoja tu, wa JMT, basi.Hivi vijamaa ni vipumbafu na vijinga..anzisheni medical council ya zanziber..msitusumbue kupe nyinyi mliojaa ubaguzi..m naomba tuchague moja either tuvunje muungano au kuwe na serikli moja tu.
#MaendeleoHayanaChama
Sent using Jamii Forums mobile app