Medical Council of Tanganyika (MCT) na ubaguzi kwa Wazanzibar

Rais Wa Jamhuri Ya Muungano Wa Tanzania
Madame SSH
Atawafungulia Yote
 
Hivi hamwezi kuanzisha MCZ?
 
Muosha akioshwa, wazenj wa Unguja mnabagua SANA, hampendi wabara wala wapemba.
Vumilieni tu, sisi mbona tunawavumilia mnavyotubagua? Na tunabakia kwetu bara.

Everyday is Saturday............................... 😎
 
Unashindwa kuelewa kuwa hao ni wabara ambao wapo muda mrefu pale zanzibar pengine tokea utoto wao au walizaliwa hapo lakini asili yao ni wabara.

Si umeona mzee mwinyi alienda zenji akiwa na miaka mi4 tu hii ni kuonesha kuwa alienda zamani akazowea akawa mwenyewe wa huko hivyo kupata ukaazi ni rahisi.

Wazenji mnaweza kuja huku mkapata kazi vizuri tu hata kama hukuzaliwa huku.

Ila nenda zenji alafu soma matangazo ya kazi utaskia mara uwe na kitambulisho cha mzanzibari mkaazi.

Na hiko kitambulisho sharti ukae zaidi ya miaka minne ndo upate
.
Kwa aliyetoka bara wiki iliyopita kuja kuomba kazi zenji anapataje hiko kipande ?

Kuna rafk amgu yuko zenji anakazi yake ya Muungano aliniambia kuwa ametafuta kipande cha mzenji mkaazi kazungushwa hajapata.

Huu kama si ukhanithi ni nini ?

Ila wabara hawa hawa wakikaa huko zenji miaka na miaka wanajiona wazenji alafu wanaamza kuwabagua wabara wenzao.

Kwa tafiti ndogo niliyoifanya nimegundua kuwa katika kila wazenji 10 basi 7 kati yao wana asili ya bara ama wazazi wao ama babu zao.

Waunguja bara mnakuwa favoured sana aisee.

Ninao friends zangu waunguja tele wanasema zenii hawarudi wako na mishe zao bongo.

Ukiona mbara kapata kazi zenji basi jua huyo ana mambo matatu.

1.kazaliwa huko ama yuko muda mrefu
2.kazi private
3.ana mkubwa kampenyeza.

Tafuta mbara ambae kapata kazi ya serikali katika mambo yasiyo na muungano utagundua kuwa hili lipo sana tu.
 
Mkuu acha tu, Mimi Kama wewe Kuna siku police kanihoji kwa nini natumia leseni ya JMT ?nikamjibu leseni yangu inaniruhusu kutumia Tanganyika na Zanzibar.Na Mimi nikamuliza wewe Afande unalipwa na JMT au SMZ,akanijibu nisimfundishe kazi na Mimi nikamwambia leseni sibadilishi labda aombe muungano ivunjwe na wewe ulipwe na SMZ hapo nitabadilisha.

Sent from my Infinix X650B using JamiiForums mobile app
 
Wanzazibar mfunguliwe maana ni watanzania kama wengine. Ole nikienda Zenj mtu anisumbue...maana nyie watu hamueleweki kabisa 😂 😂 😂 😂 😂
 
Hivi vijamaa ni vipumbafu na vijinga..anzisheni medical council ya zanziber..msitusumbue kupe nyinyi mliojaa ubaguzi..m naomba tuchague moja either tuvunje muungano au kuwe na serikli moja tu.

#MaendeleoHayanaChama

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Le
Je leseni Yao huku inatumika ? Hilo ni moja Kati ya changamoto (Kwa maoni yangu) , Mimi niliwahi kukaa Arusha ila nao (baadhi yao walinibagua) je MACHUGA wote wabaguzi ? Nilikaa mara mbili kule kifuatilia ishu fulani hivi, na kuna mshkaji wangu mmoja karibia wamtie matatizoni kwa kusema si raia 'a jamaa ni Mzaramo wa Ruvu....
 
sio kweli huku bara hakuna mzanzibar anasumbuliwa kwa lolote mnanunua ardhi mnafungua maduka na tunawaunga mkono hadi kuna msemo maarufu dukani kwa mpemba au mchaga manake mko wengi huku
 
sio kweli huku bara hakuna mzanzibar anasumbuliwa kwa lolote mnanunua ardhi mnafungua maduka na tunawaunga mkono hadi kuna msemo maarufu dukani kwa mpemba au mchaga manake mko wengi huku
Mi si Mzenji ni MTU wa pwani, nakwambia yaliyonikuta Mimi na mshkaji wangu Arusha kwenye mishe za maisha..... Sasa hivi mshkaji wangu kapata bahati yupo Zenji ana kiji Lodge chake ..... Wacha tupige kelele tu (Zanzíbar naijua vizuri tu ). Ukijifanya WA mjini hutowezana nao kabisa !!! Mi nina kijumba changu huko (Nungwii) !! Natarajia msimu WA utalii ukianza nikodishe wageni....
 
Wewe Mzenji unajifaragua tu! Hakuna wabaguzi kama waunguja hapa duniani
 
sio kweli huku bara hakuna mzanzibar anasumbuliwa kwa lolote mnanunua ardhi mnafungua maduka na tunawaunga mkono hadi kuna msemo maarufu dukani kwa mpemba au mchaga manake mko wengi huku

Kwa hayo maelezo yenu basi kusingekua na wabara Zenj mana hawana Amani ya kukaa, Lakini mbona wamejaa tele? achene kusambaza propaganda za uwongo
 
MCT = Media council of Tanzania?
 
Mnisikie wooote kwa makinii!! nyie ni watoto wa Baba mmoja nyerere tu baaasi sasa sitaki tena kusikia mtu ana nililia humu mkicheza nafuta zote .......mnaanza upya haya tooote Sultan sijui anawapa nini yule muarabu! nyie watoto!!

nikisema nafuta upya mnanifahamu si ndiyo??...yaani ni kata funua napitisha vifaru kutoka pwani ya kusini mpaka kaskazini tuone sasa nan atabaki!! baada ya hapo naanza kuzaa upya mbona kazi ndogo tuu hiyo
 
Nakusoma mkuu.
 
Serikali moja itafaa, hakuna haja ya kuwa na rais zenj, wakati kuna rais wa JMT.. Rais awe mmoja tu, wa JMT, basi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…