Please wadau wale walioishi, kusoma au uzoefu na hizi nchi mbili India and Malaysia naombwa kujuzwa kuhusu vyou vizuri i mean vinavyotambulika kwa course ya udactari wa medicine na cha bei ya kawaida ya mkulima: naomba mniainishie majina ya hivyo vyou na web site zake na kama unajua fees zake pia nitashukuru.
ahsanteni
ahsanteni