kuna haja gani ya kuwapo na huo utaratibu wa kupeleka form tajwa hapo mashuleni na vyuoni ukizingatia asilimia kubwa huwa zina fojiwa... naona haina haja yakua na huo utaratibu kwenye sehemu kama izo.... wadau mnalionaje hili swala
haja ipo coz ni vema wakawa na taarifa zako ili ukiumwa gafla wajue pa kuanzia ila wabongo washazoea vya kufoji hata afya unafoji kweli hii ni tanganyika
haja ipo coz ni vema wakawa na taarifa zako ili ukiumwa gafla wajue pa kuanzia ila wabongo washazoea vya kufoji hata afya unafoji kweli hii ni tanganyika
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.