Medical Marijuana

Medical Marijuana

Cha muhimu ni kujua inapatikana wapi, once ukikutana na dr wa huko mengine utajibiwa
 
Ni hii hii tu ganja ya kawaida,inaitwa medical marijuana kutokana na prescription ya daktari

Kuna namna nyingi ya kuitengeneza,kama ukipata yale majani yake yakiwa mabichi(kabla ya kukauka)unachanganya na maji kidogo kisha una blend unakunywa ile juice yake

Ukikosa majani pia unaweza kuchukua iliyokauka unaweka kwenye kikombe unafunika na foil unaweka kwenye oven for ten minutes,kisha unachukua mafuta ya nazi unaongezea kwenye kikombe unarudisha kwenye oven for one hour,mwisho unatoa na kuichuja na kubaki na mafuta tu.Hapo unakua tayari kuanza dozi kutokana na maelekezo ya daktari
 
Ntapata wapi hayo majani au huyo dokta? maana naitaji dose
 
Kwa majani nadhani ukipanda mwenyewe hata mti mmoja unatosha,mbegu ni nyingi tu jaribu kutafuta pusha yoyote mtaani atakuuzia

Kwa bongo sidhani kama kuna daktari kwa sasa anaeafiki tiba hii ya asili,kwa maelezo zaidi kuna videos nyingi tu YouTube,jaribu kucheki am sure utapata mawili matatu
 
Unaeza kunielekeza duka wanalouza hizo mbegu? na nikifika niulizeje?
 
Hivi vitu ni illegal huwezi kupata madukani,ila nna uhakika kwa mtaani huwezi kukosa mtu wa kumtuma au kukuunganisha na muuzaji,hawawezi kukosa mbegu sababu wakiwa wananyonga lazima wakutane na mbegu nyingi tu
 
mkuu unaniangusha eti wakiwa wananyonga sema tukiwa tunanyonga , anyway mtoa mada unapatikana mkoa gani kama upo singida weka order nkutafutie
 
Naona hutaki ila ulitaka kuwahesabu watumiaji waliomo humu JF. Dar!!! Of all the places!! Hakuna mtaa dar utauliza hii kitu uikose. Hata kule Ohio St. Wapo wauzaji. Hata Samora wapo. Kama unahitaji kitu ya Ar ambacho kinaaminika hadi Jberg njoo PM
 
Natafuta medical marijuana mwenye kujua inapatikana wapi anijuze, na je hauwi dependant? unatumia kiasi gani kwa mda gani?
Kibongo bongo hakuna cha medical wala nini, ni hii hii marijuana ya kawaida, addiction na kuwa dependent ni kama kawaida kama wavutaji wengine usipokuwa na kiasi.
Sikushauri kutumia, ila ukiona huna namna tumia at your own risk
 
Back
Top Bottom