Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni hii hii tu ganja ya kawaida,inaitwa medical marijuana kutokana na prescription ya daktari
Kuna namna nyingi ya kuitengeneza,kama ukipata yale majani yake yakiwa mabichi(kabla ya kukauka)unachanganya na maji kidogo kisha una blend unakunywa ile juice yake
Ukikosa majani pia unaweza kuchukua iliyokauka unaweka kwenye kikombe unafunika na foil unaweka kwenye oven for ten minutes,kisha unachukua mafuta ya nazi unaongezea kwenye kikombe unarudisha kwenye oven for one hour,mwisho unatoa na kuichuja na kubaki na mafuta tu.Hapo unakua tayari kuanza dozi kutokana na maelekezo ya daktari
Kwa majani nadhani ukipanda mwenyewe hata mti mmoja unatosha,mbegu ni nyingi tu jaribu kutafuta pusha yoyote mtaani atakuuziaNtapata wapi hayo majani au huyo dokta? maana naitaji dose
Kwa majani nadhani ukipanda mwenyewe hata mti mmoja unatosha,mbegu ni nyingi tu jaribu kutafuta pusha yoyote mtaani atakuuzia
Kwa bongo sidhani kama kuna daktari kwa sasa anaeafiki tiba hii ya asili,kwa maelezo zaidi kuna videos nyingi tu YouTube,jaribu kucheki am sure utapata mawili matatu
[emoji848] Yani upate duka linauza mbegu za ganja, njoo kitaaa nikupe msokoto, utachambua mbegu.Unaeza kunielekeza duka wanalouza hizo mbegu? na nikifika niulizeje?
Hivi vitu ni illegal huwezi kupata madukani,ila nna uhakika kwa mtaani huwezi kukosa mtu wa kumtuma au kukuunganisha na muuzaji,hawawezi kukosa mbegu sababu wakiwa wananyonga lazima wakutane na mbegu nyingi tuUnaeza kunielekeza duka wanalouza hizo mbegu? na nikifika niulizeje?
mkuu unaniangusha eti wakiwa wananyonga sema tukiwa tunanyonga , anyway mtoa mada unapatikana mkoa gani kama upo singida weka order nkutafutieHivi vitu ni illegal huwezi kupata madukani,ila nna uhakika kwa mtaani huwezi kukosa mtu wa kumtuma au kukuunganisha na muuzaji,hawawezi kukosa mbegu sababu wakiwa wananyonga lazima wakutane na mbegu nyingi tu
Mkuu nilishastaafu kitambo,sasa hv nakunywa tu kidogo kama dawa,sivuti tenamkuu unaniangusha eti wakiwa wananyonga sema tukiwa tunanyonga , anyway mtoa mada unapatikana mkoa gani kama upo singida weka order nkutafutie
dah sawa mkuu sisi huku ndo kimewakaaaMkuu nilishastaafu kitambo,sasa hv nakunywa tu kidogo kama dawa,sivuti tena
do ushakosa mazaga mkuu ila weka order nkutafutie uje uchukue ahahah kama unawezaaaNipo dar mkuu
Kibongo bongo hakuna cha medical wala nini, ni hii hii marijuana ya kawaida, addiction na kuwa dependent ni kama kawaida kama wavutaji wengine usipokuwa na kiasi.Natafuta medical marijuana mwenye kujua inapatikana wapi anijuze, na je hauwi dependant? unatumia kiasi gani kwa mda gani?
Kumbe ulishaanza kuitafutaNatafuta medical marijuana mwenye kujua inapatikana wapi anijuze, na je hauwi dependant? unatumia kiasi gani kwa mda gani?
Duka linalouza bangi?Unaeza kunielekeza duka wanalouza hizo mbegu? na nikifika niulizeje?