Wadau,
Kuna NGO moja ambayo inasaidia vitabu mashuleni TZ, kwasasa wana vitabu pia kwa ajili ya Medical schools kwa level ya university.
Kama kuna university iliyo na courses za medicine ambayo unafikiri wanaweza kufaidika basi waambie wahusika waniandikie kupitia
gambwene@btinternet.com.
Nataka ziwe universities zilizoko mikoani na ikiwezekana ziwe za umma au dini, sio private.
Wafanye haraka ili niwaunganishe na wahusika ambao kwasasa wako kwenye maandalizi ya kuja TZ mwezi wa saba.
Shukrani,
Mtanzania.