Medical School Books

Medical School Books

Mtanzania

JF-Expert Member
Joined
May 4, 2006
Posts
4,816
Reaction score
684
Wadau,

Kuna NGO moja ambayo inasaidia vitabu mashuleni TZ, kwasasa wana vitabu pia kwa ajili ya Medical schools kwa level ya university.

Kama kuna university iliyo na courses za medicine ambayo unafikiri wanaweza kufaidika basi waambie wahusika waniandikie kupitia gambwene@btinternet.com.

Nataka ziwe universities zilizoko mikoani na ikiwezekana ziwe za umma au dini, sio private.

Wafanye haraka ili niwaunganishe na wahusika ambao kwasasa wako kwenye maandalizi ya kuja TZ mwezi wa saba.

Shukrani,
Mtanzania.
 
Back
Top Bottom