Meditation (Tahajudi a.k.a Tafakuri Kina)

Bujibuji Simba Nyamaume

JF-Expert Member
Joined
Feb 4, 2009
Posts
76,107
Reaction score
160,001
Rafiki zangu wapenzi, leo sitakuwa nanyi, napanda Mlimani kufanya Meditation ama kwa Kiswahili huitwa TAHAJUDI au TAFAKURI KINA (deep thinking).
Kupitia meditation, nayarudia mapito yangu yote na kujikumbusha ni wapi nimejikosea mwenyewe, nimewakosea niwapendao na nimewakosea hata wale nisiowafahamu na kuwaona.
Meditation kimekuwa ni chombo cha kuunganisha utu wangu wangu wa ndani na Mungu (super power) isiyoonekana. Kupitia meditation nimeweza kujifunza mambo mbalimbali kama uvumilivu, upendo, kusamehe na kusahau.
Jamani nisiwapotezeeni muda wenu mwingi, mie ngoja nianze yangu safari
 
Kunyakuliwa kwenda wapi watu8?
Afu wewe,kwanini unajiita watu8,kwani wewe jini?

Bujibuji knows where can deep meditation take someone to...ni kama unapotea duniani kimtindo unaenda mbingu nyingine
hilo ni jina tu, one day litakua brand or company name...
kwani majini ndio huwa nane, this's new to me
 
Last edited by a moderator:

Bujibuji,haya nenda salama usisahau laptop yako!
 
Last edited by a moderator:
unafika mbingu ya ngapi buji? Sio uende mlimani kupoga puli halafu utuzuge wadau kuwa unameditate
 
nadhani Bujibuji ndio kashanyakuliwa kilichobaki ni kumwombea afike salama huko...
 
nadhani Bujibuji ndio kashanyakuliwa kilichobaki ni kumwombea afike salama huko...

Inawezekana kweli kanyakuliwa,kwa sababu ameiogopa ile siku ya kuanzia tr 22 hadi 25 mweli huu ambayo wanaanga wa kimarekani NASA, ambao wametutisha,yee kaona ajinyakue mapemaa ili asishuhudie!
 
Hv hiyo safari Bujibuji atafikaje wakati tiketi aliyobook ni go na return na tiketi hajachukua.. mi ninazo..?
 
Last edited by a moderator:
Wana ndio narudi kutoka mlima......
Can u please tell me what was a secreat behind???
Mabosi wangu wazungu walikuja kukagua ofisi yangu
 
eo ni siku ya kimataifa ya Yoga , Meditation au Tahajudi.

Siku hii imeadhimishwa kwa mazoezi ya Yoga kwenye fukwe za bahari ya Hindi eneo la Coco Beach ambapo mgeni rasmi ni Waziri wa Habari, Vijana , Sanaa na Utamaduni, Mhe. Nape Mnauye na kuhudhuriwa na Mkuu wa Mkoa wa Darisalama, Paul Makonda.

Kwa wasio jua kuhusu Yoga, meditation au tahajudi karibuni pande hizi.
Psychic Powers: Ni Nguvu za Kufanya Miujiza. Wengi wanazo bila ...
Mafunzo ya Meditation Bure. Ni Kupitia Brahima Kumaris Meditation ...
Ni Leo Jioni Pale ...."Karibuni Njooni Tumediteti!" | JamiiForums ..
"Will Powers!", "Faith Healing!"-NgMiujiza Ya Uponyaji kwa Imani ...
Jifunze: Namna ya kufanya TAHAJUDI (Meditation)... | JamiiForums ...

Meditation (Tahajudi a.k.a Tafakuri Kina) | JamiiForums | The Home ...
Mwanzo wa meditation | JamiiForums | The Home of Great Thinkers
Je unataka kuishi maisha ya amani na utulivu? Fanya hivi ...
Meditation in your daily routine | JamiiForums | The Home of Great ...
Ushuhuda wa ukweli kuhusu meditation | JamiiForums | The Home of ..
Your Brain on Meditation | JamiiForums | The Home of Great Thinkers
Sitaki tena kupaa angani | JamiiForums | The Home of Great Thinkers
Jinsi Ya Kupanga Na Kupangua Ubongo Ili Kutimiza Ndoto (Hypnosis ...
Sex huweza kutumika kama njia kufikia roho yako (sex is a gate way ...
Kwanini tunanaongelea sana watu tufanye meditation? | Page 2 ...
Washa Na Kuzima taa au mshumaa kwa nguvu ya fikra | P
Jinsi ya kutoka nje ya mwili (Astral Projection)
Faida Za Kimwili (Afya) Na Kiroho (Imani) Za Kufunga |

Kwanini tunanaongelea sana watu tufanye meditation?
Mawasiliano ya kiroho katika milango nane ya fahamu
Ni wakati wa kujitambua (Jua ulikotoka)
Kuna siri gani kwenye ulimwengu wa kiroho ukilala chali? | Page 7 ...


Mwana jf Mtambuzi ni mwana tahahajudi mkuu humu jukwaani. Wengine ni kina
mshana jr, MziziMkavu, Rakims na wengine wengi.

Karibuni tutafakari.

Pasco
 
Nakuombea
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…