Bujibuji Simba Nyamaume
JF-Expert Member
- Feb 4, 2009
- 76,107
- 160,001
Rafiki zangu wapenzi, leo sitakuwa nanyi, napanda Mlimani kufanya Meditation ama kwa Kiswahili huitwa TAHAJUDI au TAFAKURI KINA (deep thinking).
Kupitia meditation, nayarudia mapito yangu yote na kujikumbusha ni wapi nimejikosea mwenyewe, nimewakosea niwapendao na nimewakosea hata wale nisiowafahamu na kuwaona.
Meditation kimekuwa ni chombo cha kuunganisha utu wangu wangu wa ndani na Mungu (super power) isiyoonekana. Kupitia meditation nimeweza kujifunza mambo mbalimbali kama uvumilivu, upendo, kusamehe na kusahau.
Jamani nisiwapotezeeni muda wenu mwingi, mie ngoja nianze yangu safari