Medy Kagere azidiwa ghafla, Salamba kuanza

Medy Kagere azidiwa ghafla, Salamba kuanza

MSAGA SUMU

JF-Expert Member
Joined
May 25, 2015
Posts
6,661
Reaction score
21,656
Wakuu taarifa zinanifikia sasa hivi kwenye simu yangu ya mkononi kuwa tokea saa 5 asubuhi ya leo afya ya mshambuliaji Medy Kagere imezol(r)ota na ni wazi kabisa mechi ya leo hata hasitokee uwanjani. Salamba kuanza(adui muombee njaa).
wakati Yanga mpaka muda huu kila mtu ni mzima kabisa.Mungu ibariki Yanga
 
kama ni kwel bas yanga ni wachawi sana wameloga boko akapewa red kad ili asicheze sahv wanaloga tena kagere asicheze??? simba 3 yanga 0
 
Jipeni matumaini vyura, MK14' lazima awanyooshe leo
hajismanara-20180930-0001.jpg
 
Amegona kuvaa hirizi,so wanamzushia kuumwa ili tusijue ndumba zao.
 
Back
Top Bottom