Meek Mill adai hamjui Harmonize kama ni msanii

Meek Mill adai hamjui Harmonize kama ni msanii

Labani og

JF-Expert Member
Joined
Sep 15, 2020
Posts
19,637
Reaction score
29,473
MEEK MILL HAJUI KAMA HARMONIZE NI MWANAMUZIKI

Baada Ya Harmonize Kumtumia Meseji Meek Mill Kuomba Ampe Kolabo, Meek Mill Alijibu Kwa Mshituko Akisema "Wewe Ni Msanii Kutoka Afrika? Sijawahi Kusikia". Baada Ya Meek Mill Kuonesha Hamfahamu Harmonize Imemlazimu Harmonize Aombe Msaada Kwa Mashabiki Wamsaidie Kumwambia Meek Mill Kwamba Harmonize Ni Msanii Mkubwa.

Kumbe harmonize bado sana ....anga za kimataifa [emoji23]
1718853784785.jpg
 
Back
Top Bottom