Meek Mill adai hamjui Harmonize kama ni msanii

Music kwa Harmonize sasa hivi hakuna kitu, yule mwanamke kampoteza kabisa, kazi kutembea na demu kila kona kwa show off za kishamba wakati muziki wake unadidimia, demu anampoteza sana, hakuna kazi inahitaji kujituma na kurudia rudia mistari ikaye sawa kama music, la sivyo utatoa music ya hovyo sana kama Harmonize
 
Mtu anaimba I go dai fo yu anataka akaimbe nini na Meek Mill
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ€£πŸ€£πŸ˜‚πŸ˜‚Umsiriba Kabisa Tobo Lote
 
Nadhani upo sahihi Harmonize kashuka kimuziki.
Sababu aitafute mwenyewe haiwezi kuwa mwanamke wake wa sasa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…