Meena Ally, mtangazaji anayeboa kuliko wote

Vladimir Lenin

JF-Expert Member
Joined
Jul 21, 2018
Posts
3,613
Reaction score
5,119
Kiukweli huyu mtangazaji anaboa sana, na anavichekesho vinavyokera sana badala ya kuchekesha, kuna matangazo yake ya tigo clouds mara sijui mimi ni katibu wa harusi ya mwanao, mara bla bla bla nyingi ambazo wala hazichekeshi.

Wenye connection nae mwambieni anakera ajaribu kutafuta style kama anataka kuchekesha.
 
Kuna redio zaidi ya mia bongo Kwa nn usibadili station akiwa hewani? Utadhani umeshikiwa mtutu kumsikiliza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…