Mkuu ni simple tu, mimi katika watangazaji nisio wapenda nchi hii basi diva wa clouds simpendi yule dada, yani kuanzia sura kama andazi lililotiwa hamira, sauti mbaya, na vile anavyo jisifu namchukia sana yule dada Mungu anisamehe. So ninacho kifanya ni kuwa, kipindi chake sikifuatilii hata kwa bahati mbaya, nikiona hata uzi wake jf umeandikwa Diva hata ukisema amekufa mi nauskip tu, huko insta nikiona sura yake kwe post nahisi kutapika hvyo hata sitaki kujua kimeandikwa nini juu yake mi na skip...
Fanya kama mimi maisha yatakua rahisi sana...
But mim nampenda sana Meena.
Karibu kwenye ulimwengu wa chuki za wazi