Meena Ally, mtangazaji anayeboa kuliko wote

Ila mimi nakapendaga kale kadada kwa dental formula yake tu. Meno yake nayapenda sana yalivyokaa. Naingiaga Instagram kwenye page yake kuangalia meno yake tu.
She is so Cutte and innocent.
[emoji2] [emoji2] mkuu kwahyo wewe ni muhanga wa meno ya kupandana
 
Kiukweli hyu mtangazaji anaboa sana, na anavichekesho vinavyokera sana badala ya kuchekesha, kuna matangazo yake ya tigo clouds mara sijui mimi ni katibu wa harusi ya mwanao, mara bla bla bla nyingi ambazo wala hazichekeshi.

Wenye connection nae mwambien anakera ajaribu kutafuta style kama anataka kuchekesha.
Mimi alianza ananiboa ila kwa sasa ni kati ya watangazaji ninaowapenda. Namkubari sana asipokuwepo naona kama Millard anakuwa hajachangamka.
Keep doing what you do Meena
 
Kiukweli hyu mtangazaji anaboa sana, na anavichekesho vinavyokera sana badala ya kuchekesha, kuna matangazo yake ya tigo clouds mara sijui mimi ni katibu wa harusi ya mwanao, mara bla bla bla nyingi ambazo wala hazichekeshi.

Wenye connection nae mwambien anakera ajaribu kutafuta style kama anataka kuchekesha.
Achana naye mkuu,inawezekana wewe havikuchekeshi lakini mwingine anacheka hadi bandama inauma.
 
Kiukweli hyu mtangazaji anaboa sana, na anavichekesho vinavyokera sana badala ya kuchekesha, kuna matangazo yake ya tigo clouds mara sijui mimi ni katibu wa harusi ya mwanao, mara bla bla bla nyingi ambazo wala hazichekeshi.

Wenye connection nae mwambien anakera ajaribu kutafuta style kama anataka kuchekesha.
Mbona mimi simjui jaman...wewe umemtoa wapi Mkuu?
 
Kiukweli hyu mtangazaji anaboa sana, na anavichekesho vinavyokera sana badala ya kuchekesha, kuna matangazo yake ya tigo clouds mara sijui mimi ni katibu wa harusi ya mwanao, mara bla bla bla nyingi ambazo wala hazichekeshi.

Wenye connection nae mwambien anakera ajaribu kutafuta style kama anataka kuchekesha.
Huyo dem ni waki kiseng.e na mimeno yak iliyopandiana nikickilza clouds nikickia sauti yak natoa.
 
Ana kipaji cha utangazaji kwa kweli...na sauti yake ni ya kipekee...ila kwnye kuchekesha anaboa kuliko maelezo...na hlo tangazo la tgo ndo kaharibu kabisaa
 
Ila mimi nakapendaga kale kadada kwa dental formula yake tu. Meno yake nayapenda sana yalivyokaa. Naingiaga Instagram kwenye page yake kuangalia meno yake tu.
She is so Cutte and innocent.
Ana tumia Jina gani mkuu?
 
Kwanini wewe usimwambie?
Kiukweli hyu mtangazaji anaboa sana, na anavichekesho vinavyokera sana badala ya kuchekesha, kuna matangazo yake ya tigo clouds mara sijui mimi ni katibu wa harusi ya mwanao, mara bla bla bla nyingi ambazo wala hazichekeshi.

Wenye connection nae mwambien anakera ajaribu kutafuta style kama anataka kuchekesha.
 
Mie Meena Ally Namkubali, but anapochekesha atuache wasikilizaji wake ndo tucheke. Sio mchekeshaji yeye na mchekaji yeye!
 
Mkuu ni simple tu, mimi katika watangazaji nisio wapenda nchi hii basi diva wa clouds simpendi yule dada, yani kuanzia sura kama andazi lililotiwa hamira, sauti mbaya, na vile anavyo jisifu namchukia sana yule dada Mungu anisamehe. So ninacho kifanya ni kuwa, kipindi chake sikifuatilii hata kwa bahati mbaya, nikiona hata uzi wake jf umeandikwa Diva hata ukisema amekufa mi nauskip tu, huko insta nikiona sura yake kwe post nahisi kutapika hvyo hata sitaki kujua kimeandikwa nini juu yake mi na skip...

Fanya kama mimi maisha yatakua rahisi sana...

But mim nampenda sana Meena.

Karibu kwenye ulimwengu wa chuki za wazi
 
Back
Top Bottom