Meena Ally wa Clouds FM ananikosha sana

Daaah, huyu dada mpemba ananikosha sana especially sauti yake. Anaitwa Meena Ally ni mtangazaji wa Clouds kipindi cha Amplifaya na kipindi cha Niambie.

Mwenye kujua information zaidi za huyu dada atiririke tafadhali...



Ninachojua tu ni kwamba Watu wenye muonekano kama wake hapo Pichani ( Wembamba ) wana Kina kirefu sana cha mlango bahari wa eneo tukuka la Nungwi.
 
Daaah, huyu dada mpemba ananikosha sana especially sauti yake. Anaitwa Meena Ally ni mtangazaji wa Clouds kipindi cha Amplifaya na kipindi cha Niambie.

Mwenye kujua information zaidi za huyu dada atiririke tafadhali...


Unajipigia promo. Si ndo wewe mwenyewe ustadhati
 
Reactions: dtj
Ana dental formula mbovu sijapata kuona,
Ana meno 34 Badala ya 32
Kwa Kweli mumewe kazi anayo

lla wenye dental formula za ' Zigzag ' huwa na ' Mbunye ' tamu sana Mkuu. Hata hivyo Mkuu nadhani na Wewe ungetusaidia sana kama ungetuwekea hapa Nyago / Picha za Shemela wetu ( Mkeo au Demu ) wako ili nasi tumtathmini kisha tuje na majibu yetu ' mujarab ' kabisa dhidi yake.
 
Hehehe.. nasubiri nione kama ataleta ako kapicha
 
Sauti yake inafanana na ya Sharbano Aboubakar wa Kiss FM
 
Kiukweli mimi nilikuwa namkubali sana kipindi chake cha NIAMBIE.

Alipokuja tu AMPLIFIER, aaaagh!. Kaharibu kipindi kabisa. Na vyeo vyote nilivyomtundika nimemvua vyote.

ana pigaga kelele tu na kuumiza masikio ya watu kitu kingine anatakaga kuongea yeye tu akiwa na Millard amplifire ina boa kwasababu yke

Kuna uzi uliletwa humu juu ya anavyokiharibu kipindi cha Amplifier, nadhani aliupitia ule uzi na kuuelewa, maana latest amebadilika sana, tena sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…