Meena Ally wa Clouds FM ananikosha sana

Mara ya kwanza kusikia sauti yake nilidhani ni Salama J
 
Ukimuonja huto msifia...anamaji mengi sana...
 
Kuna uzi uliletwa humu juu ya anavyokiharibu kipindi cha Amplifier, nadhani aliupitia ule uzi na kuuelewa, maana latest amebadilika sana, tena sana.
You're 101% Right!! Tatizo la Meena anaongea sana, tena sana... ndivyo alivyo!!!

Kwa bahati mbaya, Millard Ayo sio muongeaji na matokeo yake akawa anasikika yeye tu!!!

Hivi sasa amebadilika kwa kiasi kikubwa sana kulinganisha na wakati anaanza Amplifier!
 
Haka kademu nikiwa nakasikia naona kama "kataahira" flan hiv na yale makelele daaah amefanya Amplifaya isiwe na mvuto tena.
 

Nimemsikia latest, she is so cool ukilinganisha na siku zile kabla hajasemwa humu.
 
Nilifikiri anaitwa Mina Ally, kumbe ni Meena Ally, [emoji1] [emoji1] [emoji1]
 
Daaah, huyu dada mpemba ananikosha sana especially sauti yake. Anaitwa Meena Ally ni mtangazaji wa Clouds kipindi cha Amplifaya na kipindi cha Niambie.

Mwenye kujua information zaidi za huyu dada atiririke tafadhali...


Mwambie acheke tuone dental fomula,oooh nilitaka kusahau je Chura ipo?
 
Kwenye amplifier uwa anajaribu kuchekesha uwa naona kama anaharibu.
Halafu design uwa naona millard kama anamchukulia kama mtoto kutokana na mizaha yake.
 
Mwanzoni msumbufu sana kutoa papuchi/mbunye (maneno mengi) ila anaachia tu kisela
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…