Meena Ally

Katika watu walionifanya nisisikilize amplifaya ni huyu meena ally simuelewagi kipindi cha ampilifaya kimekaa kipuuzi
 
we jamaaa ushawahi msifia hivi mkeo?
 
Kaharibu kipindi cha Ampifaya
No chemistry..
Hana kipaji pia cha uchekeshaji..ile ni kujichetua tu
Duuh izi Comments akiziona ataondoka mwenyewe kimya kimya Amprifayani na ku'join Sundowner ya kina Emanuel Likuda na Mwaulanga pale Magic FM.
 
Binafsi simkubali, niliacha kufatilia kipindi cha Amplifaya baada ya kukerwa na uwepo wake kwa sababu zifuatazo;
1. Ana makelele sana(mpayukaji)
2. Anapenda utani hata sehemu isiyohitaji utani
3. Analazimisha kuchekesha wakati hana hicho kipaji
4. Ana kihelehele (much know), Millard wakati mwingine inalazimika awe mpole maana wakati mwingine humuingilia pindi anapoanza kuzungumza, bahati nzuri Millard ni mpole, ingekuwa mimi angekuwa anachezea vibao vya rejareja[emoji19]
 

ukishaweka mrembo, mabaharia tunapenda kusikia mambo mazuri tu kama anajua kukata mauno kitandani, anaitikia mgegedo vizuri, anatumia line zote, kaolewa au la na mambo yanayoendana na hayo....
 
Napenda Sana sauti yake huyo mwanamke, angekuwa na chura ya kutosha ningemtengea bajeti nikajibambe mithili ya Mwijaku kwa meninna. [emoji3][emoji3][emoji3] Meena baby natania ati
 
Hvi pale mawinguni nani anakula mzigo hyu manzi?
 
bila kupepesa macho mi nampenda sana meena ally awe mke wangu
 
Kaharibu kabisaa flow ya kipindi cha amplifier cha Ayo
Utani wa kitoto mwingii
 
kakutuma uje umtangaze sio?mwambie kwanza atengeneze dental formula ake kwanza afu mwambhie hachekesh sema watu tunamuona KATUNI TU
 
Halafu huyu manzi ana chembechembe za ubaguzi haipiti siku kwenye kipindi hajasema kwetu pemba hiv na hiv ,sijui wapemba hiv na hiv,.....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…