Meet 10 Most Intelligent People Of The World

Meet 10 Most Intelligent People Of The World

kisungu

JF-Expert Member
Joined
Feb 20, 2013
Posts
788
Reaction score
266
[h=2]Kutana na watu wenye akili zaidi duniani, swali la kizushi, mbona kwenye list hakuna mwafrika? ni kweli waafrika hawajawahi kufanya mambo makubwa, je ni kweli IQ za waafrika ni ndogo?

10. Stephen Hawking[/h]
He is considered to be a man of Science, theoretically physicist, a cosmologist has never failed to astonish everybody with his inspiring IQ level of 160. He was born in Oxford, England. He has proved himself as the most intelligent person many times. He is at present experiencing paralyses. His noteworthy IQ level has made him go higher than his paralysis. Moreover, his Science and Cosmology contribution is unmatched as he has effectively used quantum mechanics and the famous theory of relativity in making an introduction of cosmology to people all around the world.
[h=2]9. Andrew Wiles[/h]
Sir Andre John Wiles is one of the most intelligent people. He is a British mathematician and a Royal Society Research Professor at Oxford University, specializing in number theory. He is most notable for proving Fermat’s Last Theorem. He got the IQ level of 170. He is one the most successful person in the world.
[h=2]8. Paul Gardner Allen[/h]
Paul Gardner Allen is an American business magnate, investor and philanthropist, best known as the co-founder, with Bill Gates, of Microsoft Corporation. As of March 2013, he was estimated to be the 53rd-richest person in the world, with an estimated wealth of $15 billion. He got an IQ level of 170. He is considered to be the most influential person in his field and known to be a good decision maker.
[h=2]7. Judit Polgar[/h]
Born in Hungary in 1976, Judit Polgár is a chess grandmaster. She is by far the strongest female chess player in history. In 1991, Polgár achieved the title of Grandmaster at the age of 15 years and 4 months, the youngest person to do so until then. Polgar is not only a chess master but a certified brainiac with a recorded IQ of 170. She lived a childhood filled with extensive chess training from her father. The fact that she defeated nine former and current world champions including Garry Kasparov, Boris Spassky, and Anatoly Karpov.
[h=2]6. Garry Kasparov[/h]
Garry Kasparov has totally amazed the world with his extra outstanding IQ level of more than 190. He is a Russian chess Grandmaster, former World Chess Champion, writer, and political activist, considered by many to be the greatest chess player of all time. From 1986 until his retirement in 2005, Kasparov was ranked world No. 1 for 225 out of 228 months. At the age of 22, Kasparov became the youngest ever undisputed World Chess Champion in 1985 by defeating then-champion Anatoly Karpov.
[h=2]5. Rick Rosner[/h]
Gifted with an amazing IQ 192, Richard Rosner is an American television producer best known for creating the television show CHiPs. Rosner later developed a portable satellite television in partnership with DirecTV.
[h=2]4. Kim Ung-Yong[/h]
With a verified IQ of 210, Korean civil engineer Ung Yong is considered the master in child prodigy. At the age of 6 months he was able to speak and understand Korean and other languages. At the age of 14, he was already able to resolve calculus complex problems as exposed live on Japanese television. He also got world record of Guinness book of World Record. >> 10 Most Genius Child Prodigies of The World.
[h=2]3. Christopher Hirata[/h]
Christopher Hirata carries IQ level of around 225 which is phenomenal. He was genius from his childhood. At the age of 16, he was working with NASA in its mission of conquering Mars. At the age of 22, he obtained his Ph.D at the Princeton University. Hirata is an authorized child genius and currently he is teaching astrophysics in the CIT California Institute of Technology.
Advertisement




[h=2]2. Marilyn vos Savant[/h]
Marilyn Vos Savant is said to have an outstanding IQ of 228. She is an American magazine columnist, author, lecturer, and playwright who rose to fame through her former listing in the Guinness Book of World Records under “Highest IQ.” Since 1986 she has written “Ask Marilyn,” a Parade magazine Sunday column where she solves puzzles and answers questions on various subjects.
[h=2]1. Terence Tao[/h]
Terence Tao is an Australian mathematician working in harmonic analysis, partial differential equations, additive combinatorics, ergodic Ramsey theory, random matrix theory, and analytic number theory. Tao carries an outstanding Intelligence quotient level of 230. He has truly astonished people with his childhood days. He has received inspiring awards like the 2003 clay research award, the Bôcher Memorial Prize in 2002 and Salem Prize in 2000 are just few of them. He is also the youngest professor of UCLA.
 

Attachments

  • number 10.jpg
    number 10.jpg
    21.4 KB · Views: 660
Hata africa kuna vichwa na vlevle kuna wazungu vilaza sema wao wanapenda kuwatangaza wale wabunifu dunia nzima!!
 
watu weupe ni washenzi sana.hupenda kujiweka kileleni ktk vitu vizuri tu.vibaya vyote huongoza mtu mweusi

lakini mkuu, ukiingia you tube, huyu dogo Terence Tao ni kweli ni kichwa aisee, inawezekana hii ni kweli mkuu sijui labda hao wengine
 
Tatizo la kwetu waafrika ni nini hasa, kuna uoga wa kuandika, tunajua vitu vikubwa lakini mtu anakaa kimya eti akiandika watu watajua kama yeye, wenzetu wana publish information zao, kwa mfano huyu Terence Tao ana publication 250 kwa umri wake mdodo wa miaka 24, na tayari ni prof.
 
kuna watu wana IQ zaidi ya hawa waliotajwa, na bado hawamo kwenye list
 
Mimi ni more than genius sema sehemu nilipo(africa) sijapata chance ya ku expres mawazo yangu
 
Kwanza kipimo cha IQ kina walakini sana, sio kithibitisho mathubuti cha uwezo wa ubongo wa mtu mtu

Pili, Huwezi kusema wewe unaakili kwa kuangalia nini ambacho unafanya na mwingine hawezi. Vp kama nae kuna kitu kaki-master na wewe hukiwezi? Mf. Eti anaakili Kwa kuwa anacheza sana chess sasa ndio ushe.nzi gani huo!!

Kule Matombo kuna jamaa anapanda sana juu ya miti, yeye kahakikisha kila mti mkubwa kaupanda vp hao watasha wanaweza hili au na sisi tuseme wana IQ ndogo
 
watu weupe ni washenzi sana.hupenda kujiweka kileleni ktk vitu vizuri tu.vibaya vyote huongoza mtu mweusi

Sidhani kama wamejipendelea mkuu, sisi tumefanya nini ili tujivunie? Tuwataje basi Waafrica wa juu ambao ni contemporaries!!!


Sent from my iPhone using JamiiForums app
 
lakini mkuu, ukiingia you tube, huyu dogo Terence Tao ni kweli ni kichwa aisee, inawezekana hii ni kweli mkuu sijui labda hao wengine

ndg yangu upo ktk jela ya kifikra.kwa hivyo vitu anavyofanya huko youtube,unamimi kabisa hakuna mtu mweusi mwenye IQ kushinda huyo jamaa?.
 
Kwanza kipimo cha IQ kina walakini sana, sio kithibitisho mathubuti cha uwezo wa ubongo wa mtu mtu

Pili, Huwezi kusema wewe unaakili kwa kuangalia nini ambacho unafanya na mwingine hawezi. Vp kama nae kuna kitu kaki-master na wewe hukiwezi? Mf. Eti anaakili Kwa kuwa anacheza sana chess sasa ndio ushe.nzi gani huo!!


Kule Matombo kuna jamaa anapanda sana juu ya miti, yeye kahakikisha kila mti mkubwa kaupanda vp hao watasha wanaweza hili au na sisi tuseme wana IQ ndogo

mkuu kuna vitu lazima tukubali laa sivyo tutabaki hapa hapa tulivyo, huwezi mfananisha mtu anayepanda miti mikubwa na mtu anaye calculate mahesabu ya chombo kinachoenda mwezini, kuna tofauti kubwa sana kati ya akili na ujasiri mm naona wewe unazungumzia ujasiri na uwezo wa kimwili, kama ndo hivyo tayson angekuwepo kwenye hii list au Messy
 
ndg yangu upo ktk jela ya kifikra.kwa hivyo vitu anavyofanya huko youtube,unamimi kabisa hakuna mtu mweusi mwenye IQ kushinda huyo jamaa?.
mkuu una reference yeyote? tuwe tunaongea kwa data basi, wenzetu wamesema wamefanya nini, sasa ukiniambia ninaamini hakuna mtu mweusi mwenye IQ kama hao, inakuwa kama tunajaribu tuu kuondoa udhaifu kwa njia dhaifu
 
Nyie wajinga mnakula chips na viroba vingi unadhani utakuwa na akli kweli?
 
Maeneo waliyoainisha ndo sio utamaduni wetu. Kule mtwara kuna wamakonde wanachonga vinyago, mtoto wa miaka 12 anatengeneza simba wanalingana. IQ inazidi 230
inawezekana ni kweli ila nani anajua? kuna sehemu mtu anaweza kuangalia akampata huyu dogo kwenye maandishi hata kwa lugha ya kwao ya kimakonde, hapo ndo tulipokosea.
 
Nyie wajinga mnakula chips na viroba vingi unadhani utakuwa na akli kweli?
sidhani kama chakula kina influence kwenye IQ kama kuna mwenye uthibitisho atuambie ili na sisi tuwape watoto wetu, ila najua samaki na ndizi zinaongeza uelewa na kuimarisha ubongo, kwenye samaki hasahasa jicho lina omega3 ambayo ni muhimu sana kwenye kuongez akili
 
Back
Top Bottom