Meet 10 Most Intelligent People Of The World

Meet 10 Most Intelligent People Of The World

[h=2][FONT=Georgia,Arial,Helvetica]Black-White IQ Differences [/FONT][/h][h=3][FONT=Georgia,Arial,Helvetica]Daniel Seligman[/FONT][/h]
[FONT=Georgia,Arial,Helvetica]There is no getting around certain large and troubling implications of black-white differences. The implications seem most troubling when you turn from the average differences and focus instead on the differences at the extreme -- when you contrast the two overlapping bell-shaped distribution curves and look at the proportions in each group scoring above and below certain levels. If you tell yourself that the top professional and managerial jobs in this country require an IQ of at least 115 or thereabouts, then you also have to tell yourself that only about 2.5 percent of blacks appear able to compete for those jobs. The comparable figure for whites would be about 16 percent. Total black population with IQs over 115: 800,000. Comparable figure for whites: about 30 million. If blacks had the same IQ distribution as whites, the black total would be over 5 million.
[/FONT]

bell.gif
[FONT=Georgia,Arial,Helvetica]The data are even more depressing on the downside. An IQ in the 70-75 range, which many psychologists would label "borderline retarded," implies a life that is guaranteed to be short of opportunities. Very few students in that range will absorb much of what elementary schools teach, and virtually none will graduate from high school; few will succeed in finding and keeping good jobs. None will be admitted into the armed forces (required by law to screen out the lowest ten percent of the distribution). The bad news is that a substantial minority -- apparently more than one in five -- of American blacks have IQs below 75. Around one in twenty whites are below 75.
[/FONT]

[FONT=Georgia,Arial,Helvetica][...][/FONT]
[FONT=Georgia,Arial,Helvetica]The black-white gap is 15 points when measured on the Wechsler tests, 18 on the Stanford-Binet. Both tests are, of course, normed so as to produce an average of 100, but the white average is a bit higher. On the Wechsler metric, whites and blacks average 102 and 87, respectively. On both tests, the gap between the races is almost exactly 1 SD (standard deviation). The gap of 1 SD has been observed since the earliest days of intelligence testing.[/FONT]
[FONT=Georgia,Arial,Helvetica]There are also significant black-white differences in the structure of mental abilities. The test-score patterns show that the two groups are good at different things. On average, whites do better on all the subtests, but their margin of superiority varies considerably from one subtest to another. Or look at it this way: If you took a sample of black and white children, all of whom had scored around 100 on the WISC-R -- that is, the black kids in the sample were above the black average -- you would expect to find significant black-white differences on six of the thirteen subtests. The average black kid would do better on Arithmetic and Digit Span; the average white kid would do better on Comprehension, Block Design, Object Assembly, and Mazes ...[/FONT]
[FONT=Georgia,Arial,Helvetica]These subtest differences have one common theme, and its name is g. The tests on which the gap is greatest are those with the most g-loading -- which means, in general, those that call most heavily on reasoning and problem-solving abilities. The June 1985 issue of The Behavioral and Brain Sciences carries a long report by Arthur Jensen analyzing eleven sizable studies of black-white IQ differences. The underlying data had been collected by different researchers at different times (but none before 1970). All the studies had several things in common: All were based on large population samples, all measured a broad range of mental abilities, and all included black-white breakdowns of their various subtests.[/FONT]
[FONT=Georgia,Arial,Helvetica]In all eleven studies, Jensen found consistently strong positive correlations between the size of the black-white gap on subtests and the extent to which the subtests called on g ... The correlation coefficient, after appropriate adjustments, appears to be well above .60.[/FONT]
[FONT=Georgia,Arial,Helvetica]In other words, the black-white IQ gap is in large measure a reflection of differences in reasoning and problem-solving ability.[/FONT]
[FONT=Georgia,Arial,Helvetica]This was not exactly news in 1985. Long before Jensen set out to quantify the "g effect" in black-white differences, it was generally well known that the differences were greatest in measures of abstract reasoning, not so great in measures of verbal skill, smallest of all in memory and rote learning.[/FONT]
 
Where is Sir Isaac Newton? Albert Einstein..?

Mtoa mada nenda kajipange..
 
Tuchukulie hii kama changamoto kwetu badala ya kuendeleza ule ugonjwa wetu sugu wa kulalama lalama.

Inawezekana tukawa na wenzetu wenye IQ kubwa kuliko hao, nawakumbuka wale watoto wa Arusha walio USA mmoja NASA na mwingine daktari, lakini tatizo letu tuna mfumo madhubuti wa kutambua vipaji hivi kwa upana wake , kuvilea na kuvitunza mpaka ngazi ya juu kabisa ya elimu viweze leta matokeo chanya kwa jamii yetu?

Hebu tujiulize tuna raslimali ardhi kubwa tu lakini hatuna nyenzo za kisasa na tunalia njaa kwa nini? Tunashindwa kuchimba madini, kuvuna gesi na samaki, hivi hatuzalishi wanasayansi? Kwa nini?

Nchi kama India ina utaratibu maalumu kabisa wa kutambua vipaji maalumu na kuvilea mpaka vyuo vikuu, na tunaona matokeo yake makubwa kwenye kilimo, viwanda, madawa, IT mpaka nuclear energy na bomu lake.
 
mkuu kuna vitu lazima tukubali laa sivyo tutabaki hapa hapa tulivyo, huwezi mfananisha mtu anayepanda miti mikubwa na mtu anaye calculate mahesabu ya chombo kinachoenda mwezini, kuna tofauti kubwa sana kati ya akili na ujasiri mm naona wewe unazungumzia ujasiri na uwezo wa kimwili, kama ndo hivyo tayson angekuwepo kwenye hii list au Messy

Na hicho ndio mzungu anafanya. Chochote anachoweza na sisi hatuwezi anatumia kama njia ya kukwambia huna akili maana Huwezi anachoweza yeye

Hakuna muafrika mwenye interest na mambo ya mwezini so why bother kufanya hesabu au kugundua mambo ya huko. Wao wana interest na ndio maana wamefanya na sisi tunafanya what we're interested in

Kwanini tusiseme wao Hawana akili sababu tumewazidi kucheza basketball na American football..

Kama ni matibabu babu zetu wana dawa za almost magonjwa yote hata cancer na sio processed medicine ni miti shamba tu

Kikubwa hapa ni interest na nini ambacho unaweza na mwenzio hawezi
 
Babu yangu alikuwa anaweza kusafiri kwa ndege ya asili isiyo na makelele kama hiz za wazungu na kwa muda mchache aliweza kuruka maelfu ya kilomita.sasa hapo vp,hao wazungu wanaweza?.Pia kuna babu alikuwa anaweza kufanya mvua ikanyesha kwake tu na wengine wa karibu yake wakakosa. cc waafrika ni nouma zaidi ya hao wazungu.
 
Babu yangu alikuwa anaweza kusafiri kwa ndege ya asili isiyo na makelele kama hiz za wazungu na kwa muda mchache aliweza kuruka maelfu ya kilomita.sasa hapo vp,hao wazungu wanaweza?.Pia kuna babu alikuwa anaweza kufanya mvua ikanyesha kwake tu na wengine wa karibu yake wakakosa. cc waafrika ni nouma zaidi ya hao wazungu.

Mleta mada anaona hapo akili haikutumika ila anaamini mcheza chess anaakili zaidi ya babu yako simply sababu mzungu kasema chess inahitaji akili kuliko mtu afanyae mvua kunyesha kwake tu.
 
mkuu kuna vitu lazima tukubali laa sivyo tutabaki hapa hapa tulivyo, huwezi mfananisha mtu anayepanda miti mikubwa na mtu anaye calculate mahesabu ya chombo kinachoenda mwezini, kuna tofauti kubwa sana kati ya akili na ujasiri mm naona wewe unazungumzia ujasiri na uwezo wa kimwili, kama ndo hivyo tayson angekuwepo kwenye hii list au Messy

Interesting!
 
mimi ni more than genius sema sehemu nilipo(africa) sijapata chance ya ku expres mawazo yangu
..tupia hapa jf clip yako ya kusolve complex equations kwa kichwa tutakutambua tu....
 
yah ni kweli wako juu tunakili lakini kuna maniga wapo juu zaidi yao sema fursa tu,washazishika zote hivyo black ujidai umegundua nin watakwambia kishagunnduliwa since 20 years ago
 
Mleta mada anaona hapo akili haikutumika ila anaamini mcheza chess anaakili zaidi ya babu yako simply sababu mzungu kasema chess inahitaji akili kuliko mtu afanyae mvua kunyesha kwake tu.

Ni ulimbukeni tu wa mleta mada. Mzungu alidhani wale Bushmen wa Kalahari ni watu wanaoishi maisha yao rahisi bila kutumia akili mpaka pale alipokaa nao miaka miwili akifanya research ya maisha yao. Wale wanatumia akili nyingi na uwezo mkubwa wa kuelewa katika ku-survive jangwani kuliko watu wengi "waliojengewa muundo wa maisha" katika katika miji iliyoendelea kule Ulaya na Marekani.

Kijana mdogo wa jamii ya watu wale wa jangwa Kalahari anaweza kuzisoma na kuzitambua nyayo za wanyama tofauti zaidi ya 60, licha ya kuzitambua pia anaweza kuzipima mwonekano wake na kutambua mnyama huyu yuko katika hali gani (kajeruhiwa, mzima, anaumwa etc.). Mtu mzima katika jamii ya watu hawa anaweza kujua kwa hakika mnyama yule kapita muda gani kwa kupima viashiria vidogo sana katika nyayo za mnyama aliyepita. Ukija katika madawa na mbinu za kujitibu ambazo huko kwa walami, watu husomea miaka mingi sana kujifunza jinsi ya kutibu ugonjwa wa aina moja tu, kwa hawa bushmen kila mtu mzima anazijua vizuri dawa mbalimbali za mizizi, majani kemikali za wadudu etc. katika kujitibu na kutibu jamii yake.

Lakini bushmen ataambiwa hajui kucheza chase hivyo hana akili. Mweke kijana mcheza chess mwenye "akili nyingi" pale jangwani Kalahari kwa siku tatu tu a-survive maisha yale mwenyewe. Hakika unapokuja kumchukua njoo na machela!
 
Sidhani kama wamejipendelea mkuu, sisi tumefanya nini ili tujivunie? Tuwataje basi Waafrica wa juu ambao ni contemporaries!!!


Sent from my iPhone using JamiiForums app

Mkuu we have done alot. Hivi unaijua THE MPEMBA EFFECT? unajua kwamba huyo MPEMBA ni mtanzania? Wakati ulimwengu wa wanasayansi unakuna kichwa juu ya theory yake hapa kwetu nina imani kabisa kuna wasomi wengi hawamjui bwana mpemba na wala ugunduzi wake haufundishwi wala kutajwa kwenye ngazi yoyote ya elimu elimu si msingi si chuo kikuu halafu tunatarajia tutambulike!!!. uzuri wa wenzetu wana andika research zao sisi "tunawapa mchwa" wazile kwenye mashubaku.leo hapa Tanzania, masters thesis wanazofanya wanafunzi wa vyuo vikuu zinabakia kupigwa tu na vumbi hakuna anae publish na wala publication si requirement ya mtu kugraduate wakati nchi za wenzetu ni LAZIMA publication kwa mwanafunzi wa masters na phd. Wenzetu wana utamaduni wa kufanya tafiti na kuzifanyia kazi.sisi ni mahodari wa kuunda tume tu na matokeo ya tafiti yanabaki kuliwa na mchwa kwenye makabati. Hata hivyo hatuthamini wasomi wetu! Na ikitokea msomi anaonesha uweledi wake katika fani yake basi siasa itaingizwa katikati na kumnyamazisha. Ifike wakati siasa na wanasiasa waheshimu taaluma na wana taaluma wetu na sio wanataaluma kuwasujudia wanasiasa
 
Mi namuamini Thomas Edison tu ndie aliesema ukweli kwamba 99 parcent is hardwork and only one is genius. Alaf oppotunity nazo znachangia.
 
Back
Top Bottom