Bentley sikuitaja kwa kuwa SUV yao imetoka muda mrefu zaidi.Umesahau Bentley. Lamboghini nao wanazo.
Hii mpaka inatua bongo hapa lazima iwe imekukamua bilioni na ushekhe!!
Gari zuri, kila mtu atatamani,ila uchawi faranga wacha tuendelee kujikuna pale mkono unafika...
Finally umenunua au mume wako ndo amenunua?

Najua ni nje ya mada lakini umeicheki avatar yangu mkuu?
Edited!
Hii mpaka inatua bongo hapa lazima iwe imekukamua bilioni na ushekhe!!
Gari zuri, kila mtu atatamani,ila uchawi faranga wacha tuendelee kujikuna pale mkono unafika...
Labda ni huyo mwandishi ndo ameedit mimi nimekuwekea kama nilivyoionaEdited!