Meet 2019 Rolls Royce Cullinan

Meet 2019 Rolls Royce Cullinan

Upo outdated haswa. Ulaya sasa wamepatwa na uchizi wa SUVs. Hata Lamborghini na Maserati wana SUVs siku hizi.
Umesahau Bentley. Lamboghini nao wanazo.
 
Kwa hiyo bei napata helicopter yangu swafiiii halafu nakuangalia huku nasema hiiiiii.
 
Bentley sikuitaja kwa kuwa SUV yao imetoka muda mrefu zaidi.

Sawa kabisa.

Ila na wao wameingia kwenye ulimwengu wa SUV's badala ya kuendelea na sedans, coupe zao.
 
Hii mpaka inatua bongo hapa lazima iwe imekukamua bilioni na ushekhe!!

Gari zuri, kila mtu atatamani,ila uchawi faranga wacha tuendelee kujikuna pale mkono unafika...

Tutaishia kuyaona kwenye mapicha picha tu[emoji1549]‍♂️
 
Finally
sammisago_20200416_204827_0.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Halifai bongo hili na filling station zetu hizi
Hii mpaka inatua bongo hapa lazima iwe imekukamua bilioni na ushekhe!!

Gari zuri, kila mtu atatamani,ila uchawi faranga wacha tuendelee kujikuna pale mkono unafika...

Jr[emoji769]
 
Back
Top Bottom