Meet an atheist who believes in God

Meet an atheist who believes in God

Ukishaamini katika MUNGU, wewe si atheist! Atheist si imani, ni kutokuwa na imani!
 
Francis Bacon Was a famousPHILOSOPHER has rightly said that a little knowledge of SCIENCE makes man AN ATHEIST but an indepth study of science makes him believe IN GOD.
 
Ukishaamini katika MUNGU, wewe si atheist! Atheist si imani, ni kutokuwa na imani!

Usilazimishe mambo yaende unavyotaka,yeye kasema ni atheist anaeamini mungu,ubishi wa nini?
 
hahaha, wewe unaweza kuwa mpagani at the same time ukawa muislamu au mkristo? elewa kwanza maana ya atheist, ukishakuwa atheist ina maana umeikana miungu yote, sijjui wa yakobo wa isaka sijui yahweh sijui allah sjui ishta sijui mwanamalundi wote uewakataa!
 
Pagans believe in no God just like non theists.
 
Back
Top Bottom