Usilazimishe mambo yaende unavyotaka,yeye kasema ni atheist anaeamini mungu,ubishi wa nini?
Pagans believe in no God just like non theists.hahaha, wewe unaweza kuwa mpagani at the same time ukawa muislamu au mkristo? elewa kwanza maana ya atheist, ukishakuwa atheist ina maana umeikana miungu yote, sijjui wa yakobo wa isaka sijui yahweh sijui allah sjui ishta sijui mwanamalundi wote uewakataa!