MESTOD
JF-Expert Member
- Nov 12, 2010
- 4,798
- 2,006
Kuna mmoja aliwahi toa testmony yake channel ten miaka ya 2006/2007 hivi kama sikosei, inatisha sana. Yeye ilikuwa ni katika magereza ya hapahapa Tz, akasimulia the way alikuwa anacheza draft na inmate mwenzie mara kaja kuitwa, after sometime kasikia mwenzie anamuita kwa sauti kuwa 'kwa heri, mwenzio siku yangu imefika, utanikutaa'. Niliwaza sana, na draft hakulimaliza.
Kwa nini vyumba vya kunyongea visingekuwa mbali na vizimba? Hata hivyo, wengine wanastahili, kama mtu anambaka mtoto mdogo, anamchinja, aagh!!!!
Kwa nini vyumba vya kunyongea visingekuwa mbali na vizimba? Hata hivyo, wengine wanastahili, kama mtu anambaka mtoto mdogo, anamchinja, aagh!!!!