cheusimangala
JF-Expert Member
- Feb 27, 2010
- 2,585
- 498
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
safi sana unajua kuchagua vitu vizuri,sio wengine wanakimbilia mkorogo na nywele za bandia!ahsante sana mie hawa nawakubali hapo tu in nature
hata mie gf wangu yupo kama huyo
Conquest-realy black is bt
nido zake ni za mviringo vizuri
ni kweli kabisa,,kama utamuangalia vizuri huo mkono aliovaa bangili tayari umeota Sugulakini hizo bangiri naona zinzmuharibu mkono sijui ni uzito?
![]()
Huyu je?
Dada Cheusimangala..huyu Binti ni mrembo wa haja na wa asilia kweli kweli..
lakini hizo bangiri naona zinzmuharibu mkono sijui ni uzito?
Vijana wa kileo wanavyopenda wadada atifisho wakikutana na huyo hata hawageuki:rolleyez:






Hii ndo inaitwa kuku ya kienyeji, unakula na mifupa yake..imetulia.
...Lazima radha zitatofautiana jamani.....Humu nako kuna raha zake ati. Hayo ma-style yule mmasai anaweza kukimbia kiwanja akavuruga mechi......Kila shetani na mbuyu wake!!![]()
Huyu je?
...Lazima radha zitatofautiana jamani.....Humu nako kuna raha zake ati. Hayo ma-style yule mmasai anaweza kukimbia kiwanja akavuruga mechi......Kila shetani na mbuyu wake!!
![]()
Huyu je?
...Lazima radha zitatofautiana jamani.....Humu nako kuna raha zake ati. Hayo ma-style yule mmasai anaweza kukimbia kiwanja akavuruga mechi......Kila shetani na mbuyu wake!!