Mega Thread: East Africa's iconic Architecture

Ole wako. Naona mbali na kuwa na shinikizo duni, hauna haya. Mimi hushuhudia KILA SIKU kazi za ma architect waafrika, wakiwemo pia watanzania. Someone help this man.

Nataka majina na kazi zao na siyo blah blah baada ya huyo Mutiso nitajie wengine Wakenya weusi na kazi zao!
 
I dont know the names of these two buildings, but they looks awesome
 
Home hapa utapata orodha ya majina yao. Wako wengi aisee, wakenya ni watu wameuma kitabu, taaluma aina zote zinapatikana kenya. Fuata hizo links ndani ya hiyo tovuti upate kujionea utashangaa. Siko karibu na computer sasa hivi, labda kati ya wiki hivi.

Wewe mjamaa unadharau waafrika wenzako hadi unadhani hata taaluma hawawezani nayo. Ujue leo architects wako wengi sana EA.
RWANDA : Rwanda
TZ : About AAT – Architects Association of Tanzania
Uganda : Home | Uganda Society of Architects

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…