Meghan Markle ajifungua mtoto wa kiume

Meghan Markle ajifungua mtoto wa kiume

Olewa na huyo huyo ulienae, hata yeye anatoka kwenye familia ya kifalme, kwa maana mama mkwe wako anamuita baba mkwe wako mfalme wake..

Hahaa!! Siko serious saana.
Bora hauko serious maana ungetaja nilienae!😂
 
Congratulations are in order but I am worried about negativity in the media about this beautiful lady , especially UK media.
 
Bado wanatafuta jina? Wampe jina la babu yake Le Mobimba Nyenyenye.
 
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] ,nimeipenda hii
Hahaa!! Maisha haya kila mmoja mfalme na malkia, sema tunatofautiana eneo la utawala tu, wengine wafalme wa maeneo makubwa, wakina sie pangu pakavu tia mchuzi wafalme mpaka tukiwa kwenye vyumba vyetu vya kupanga tukiwa na kina mama chanja wetu!
 
Back
Top Bottom