Lile dola ambalo Bashiru Ally amesema litatumika nalo lipo miongoni mwa madola hayo ?Jumuia ya Madola
Wameshaonesha "mbwinu" zaoChama dola kimekuwa monarch, hakitaki kutoka madarakani.
Mliosoma shule za "Dad and Mum" utawajua tuNchi za Commonwealth kwa kiswahili tunaitaje ??
Lile dola ambalo Bashiru Ally amesema litatumika nalo lipo miongoni mwa madola hayo ?
Rachel mrembo bwana achana na huyo Kate kimbaumbauAmepata attention safari hii, Kate amefunikwa.