Meghan na Harry wamebahatika kupata mtoto wa pili ni binti amepewa jina Elizabeth Diana

Meghan na Harry wamebahatika kupata mtoto wa pili ni binti amepewa jina Elizabeth Diana

Hongera zao sana uzao wa ufalme, JAH awaongoze vyema na kuwalinda.
 
Sawa sawa nawaona wamatumbi wa kiingereza mnamuwishi ndugu yenu
 
Lilibet lilikuwa jina la Princess Diana la kwenye Kasri kama AKA yake so huyo mtoto wamempa majina ya Princess Diana
 
Anaitwa Lillibeth Diana Mountbatten Windsor.
 
Back
Top Bottom