Miss Zomboko JF-Expert Member Joined May 18, 2014 Posts 4,599 Reaction score 9,532 May 31, 2024 #1 Siku ya Kimataifa ya Kuzuia Matumizi ya Tumbaku huadhimishwa kila mwaka tarehe 31 Mei. Siku hii ina lengo la kuongeza uelewa kuhusu madhara ya kiafya, kijamii, na kiuchumi yanayosababishwa na matumizi ya tumbaku.
Siku ya Kimataifa ya Kuzuia Matumizi ya Tumbaku huadhimishwa kila mwaka tarehe 31 Mei. Siku hii ina lengo la kuongeza uelewa kuhusu madhara ya kiafya, kijamii, na kiuchumi yanayosababishwa na matumizi ya tumbaku.
TAI DUME JF-Expert Member Joined Feb 20, 2014 Posts 9,748 Reaction score 26,238 May 31, 2024 #2 So viwanda vinafunga uzalishaji fegi leo?
M Mpalakugenda JF-Expert Member Joined Jun 2, 2015 Posts 4,611 Reaction score 5,009 May 31, 2024 #3 Hii ni biashara kubwa sana, hata katika mazao yanayoingiza pesa ndefu za kigeni tumbaku ipo. Suala ni kuongeza utafiti wa kuondoa vitu hatarishi ama kupata namna mpya ya matumizi.
Hii ni biashara kubwa sana, hata katika mazao yanayoingiza pesa ndefu za kigeni tumbaku ipo. Suala ni kuongeza utafiti wa kuondoa vitu hatarishi ama kupata namna mpya ya matumizi.