Mei 9 sikukuu muhimu kwa Warusi, Putin atawaambia nini Warusi, Bakhmut imeshindikana

MK254

JF-Expert Member
Joined
May 11, 2013
Posts
32,408
Reaction score
50,809
Kila mwaka, Mei 9 Warusi husheherekea ushindi wao kwenye vita vikuu vya pili vya dunia, huwa na mbwembwe kama zote za kutunisha misuli, mwaka jana kwenye hotuba ya sikukuu, Putin alibwatuka mikwara kama yote na kuahidi ushindi.
Lakini hali imekua ngumu, ameshindwa hata kuteka kamji ka hovyo tu, amepoteza wanajeshi wanaokadiriwa 200,000 hiyo ni kama ujumlishe idadi ya wanajeshi wa mataifa yote ya EAC na kati na bado ubaki na salio.
===============================

After eight months of intense and brutal fighting between Russian and Ukrainian forces in and around Bakhmut in eastern Ukraine, both sides are fatigued as they continue to fight over a town that is now little more than ruins, according to Western officials.

Speaking at a defense intelligence briefing Wednesday, Western officials — who asked to remain anonymous due to the sensitive nature of the situation on the ground in Ukraine — said Russian forces had made extremely slow progress in their efforts to capture Bakhmut in the Donetsk region, saying any advances over the last couple of weeks could be measured in meters.

[emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635]
IMG_20230428_194023.jpg
 
[emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635]View attachment 2606476
Tatizo lako kuu hujui kutofautisha kati ya propaganda na ukweli - hivi kwa akili za kawaida tu mleta habari akisema hataki jina lake lijulikate/litajwe, hii maanake nini?? Kwamba hizo ni habari za kuchonga tu au zina ukweli wowote - jibu nimekuachia wewe. Endelea na story zako za kuokoteza okoteza lakini nilisha sema humu mara nyingi tu kwamba Ukraine ikishindwa vita utapatwa na mshituko wa MOYO.
 
Napenda mlivyo ving'ang'anizi humu JF, licha ya aibu yote hii bado mpo mnaandika andika, japo sijaelewa umebwabwaja nini hapa.
Bado tunasubiri msafara wa kuiteka Kyev ufike.

%2Fmethode%2Ftimes%2Fprod%2Fweb%2Fbin%2Ffe734316-9957-11ec-89bb-9b014055375d.jpg
 
Yaani wewe kwa akili zako za ajabu unaona ku-derail rolling stock moja ni dalili za Ukraine kuishinda kivita taifa ambalo ni hyper power wa kweli (Russia) hata US/NATO walitambua sana hilo ndio maana hawana ubavu wa kupigana vita ya ana kwa ana na Russia, badala yake wanamtumia kiongozi zombie/teja kama Zelensky kuwatoa kafara Waukraine wenzake kupigana proxy war on USA behalf - huku akijua wazi wazi kwamba uwezekano wa Jeshi la Ukraine kumshinda jeshi la Putin haupo kabisa - badala yake anawaongezea matezo zaidi wa Ukraine, taifa lao kubaki magofu matupu na aridhi yao ya kusini yenye rutuba,madini na viwanda kuendelea kutwaliwa zaidi na Urusi -wala hilo Zelensky na genge lake hawalioni wanafanya kile wanacho amriwa na Biden.

Zelensky na genge lake wakija kushtuka Ukraine itakuwa haipo tena - mfano: sehemu ya kaskazini itakuwa imechukuliwa na Poland, kuna aridhi kubwa Ukraine iliyokuwa ni sehemu ya Poland kabla ya WW2, na kusini magharibi mwa Ukraine itachukuliwa na Romania - Zelensky akibahatika atabaki na Kiev tu basi.
 
Hehehe unachekesha, ku-derail au kufuta a complete convoy kwa kutumia wabeba javelin hadi raha, halafu mumeanza kukiri ilikua derailment.
Kwa taarifa zako tunashuku Putin atakua wetu Kuna wadadisi wanawaza kuna uwezekano Putin ni pandikizi la Marekani, ameiharibu Urusi
 
Kila mwaka, Mei 9 Warusi husheherekea ushindi wao kwenye vita vikuu vya pili vya dunia, huwa na mbwembwe kama zote za kutunisha misuli, mwaka jana kwenye hotuba ya sikukuu, Putin alibwatuka mikwara kama yote na kuahidi ushindi.
Lakini hali imekua ngumu, ameshindwa hata kuteka kamji ka hovyo tu, amepoteza wanajeshi wanaokadiriwa 200,000 hiyo ni kama ujumlishe idadi ya wanajeshi wa mataifa yote ya EAC na kati na bado ubaki na salio.
===============================

After eight months of intense and brutal fighting between Russian and Ukrainian forces in and around Bakhmut in eastern Ukraine, both sides are fatigued as they continue to fight over a town that is now little more than ruins, according to Western officials.

Speaking at a defense intelligence briefing Wednesday, Western officials — who asked to remain anonymous due to the sensitive nature of the situation on the ground in Ukraine — said Russian forces had made extremely slow progress in their efforts to capture Bakhmut in the Donetsk region, saying any advances over the last couple of weeks could be measured in meters.

Marekani na Uingereza zilikataa mazungumzo ya amani nchini Ukraine, anasema mwanasayansi mashuhuri wa Marekani Noam Chomsky.

Ili kudhoofisha Urusi, Marekani na Uingereza zinaendelea kuipatia Kiev silaha, na hivyo kuendeleza mzozo huo, anasema.

"Ukrainia sio muigizaji huru; wanategemea kile ambacho Amerika itaamua, "Chomsky anasema.

Kulingana na yeye, Urusi inafanya kazi nchini Ukraine "kwa kujizuia na wastani". Kwa Chomsky, "ni dhahiri" Urusi inapigana kwa ubinadamu zaidi nchini Ukraine kuliko Marekani ilivyokuwa Iraq.
Screenshot_2023-05-02-09-16-01-76_40deb401b9ffe8e1df2f1cc5ba480b12.jpg
 
View attachment 2606951
 
Mazungumzo ya amani kivipi kwani kulikua na vita, huyo Putin kiherehere chake cha kuivamia Ukraine kimem-cost balaa, anajutia sana yule.
 
Yaani wewe kwa akili zako za ajabu unaona ku-derail rolling stock moja ni dalili za Ukraine kuishinda kivita taifa ambalo ni hyper power wa kweli (Russia) hata US/NATO walitambua sana hilo ndio maana hawana ubavu wa kupigana vita ya ana kwa ana na Russia, badala yake wanamtumia kiongozi zombie/teja kama Zelensky kuwatoa kafara Waukraine wenzake kupigana proxy war on USA behalf - huku akijua wazi wazi kwamba uwezekano wa Jeshi la Ukraine kumshinda jeshi la Putin haupo kabisa - badala yake anawaongezea matezo zaidi wa Ukraine, taifa lao kubaki magofu matupu na aridhi yao ya kusini yenye rutuba,madini na viwanda kuendelea kutwaliwa zaidi na Urusi -wala hilo Zelensky na genge lake hawalioni wanafanya kile wanacho amriwa na Biden.

Zelensky na genge lake wakija kushtuka Ukraine itakuwa haipo tena - mfano: sehemu ya kaskazini itakuwa imechukuliwa na Poland, kuna aridhi kubwa Ukraine iliyokuwa ni sehemu ya Poland kabla ya WW2, na kusini magharibi mwa Ukraine itachukuliwa na Romania - Zelensky akibahatika atabaki na Kiev tu basi.
kama mpk sasa unabisha urusi kufeli kwenye huu uvamizi jitathimin mkuu , mahaba sio kitu kizuri matarajio ya urusi yalikuwa kuiteka kyiev kama alivyofanya huko moldova
 
Kila mwaka, Mei 9 Warusi husheherekea ushindi wao kwenye vita vikuu vya pili vya dunia, huwa na mbwembwe kama zote za kutunisha misuli, mwaka jana kwenye hotuba ya sikukuu, Putin alibwatuka mikwara kama yote na kuahidi ushindi.
Lakini hali imekua ngumu, ameshindwa hata kuteka kamji ka hovyo tu, amepoteza wanajeshi wanaokadiriwa 200,000 hiyo ni kama ujumlishe idadi ya wanajeshi wa mataifa yote ya EAC na kati na bado ubaki na salio.
===============================

After eight months of intense and brutal fighting between Russian and Ukrainian forces in and around Bakhmut in eastern Ukraine, both sides are fatigued as they continue to fight over a town that is now little more than ruins, according to Western officials.

Speaking at a defense intelligence briefing Wednesday, Western officials — who asked to remain anonymous due to the sensitive nature of the situation on the ground in Ukraine — said Russian forces had made extremely slow progress in their efforts to capture Bakhmut in the Donetsk region, saying any advances over the last couple of weeks could be measured in meters.

Baada ya kukuona unaandamana ili upewe ugali na Ruto tangu siku hiyo nimekuona akili zako ni finyu.
 
Mazungumzo ya amani kivipi kwani kulikua na vita, huyo Putin kiherehere chake cha kuivamia Ukraine kimem-cost balaa, anajutia sana yule.
Majuto unayo wewe sio Putin!
Hiyo mei 9 utasikia Urraaaaa!
 
Baada ya kukuona unaandamana ili upewe ugali na Ruto tangu siku hiyo nimekuona akili zako ni finyu.

Kuna uzi niliona umeanzisha wa mambo ya Mungu dhidi ya ma-atheist, kumbe baadhi yenu huwa mna akili ni ile tu mumeshikiliwa....
 
Mazungumzo ya amani kivipi kwani kulikua na vita, huyo Putin kiherehere chake cha kuivamia Ukraine kimem-cost balaa, anajutia sana yule.
Huyo alionngea unamjua ni nan?
 
Yaani wewe kwa akili zako za ajabu unaona ku-derail rolling stock moja ni dalili za Ukraine kuishinda kivita taifa ambalo ni hyper power wa kweli (Russia) hata US/NATO walitambua sana hilo ndio maana hawana ubavu wa kupigana vita ya ana kwa ana na Russia, badala yake wanamtumia kiongozi zombie/teja kama Zelensky kuwatoa kafara Waukraine wenzake kupigana proxy war on USA behalf - huku akijua wazi wazi kwamba uwezekano wa Jeshi la Ukraine kumshinda jeshi la Putin haupo kabisa - badala yake anawaongezea matezo zaidi wa Ukraine, taifa lao kubaki magofu matupu na aridhi yao ya kusini yenye rutuba,madini na viwanda kuendelea kutwaliwa zaidi na Urusi -wala hilo Zelensky na genge lake hawalioni wanafanya kile wanacho amriwa na Biden.

Zelensky na genge lake wakija kushtuka Ukraine itakuwa haipo tena - mfano: sehemu ya kaskazini itakuwa imechukuliwa na Poland, kuna aridhi kubwa Ukraine iliyokuwa ni sehemu ya Poland kabla ya WW2, na kusini magharibi mwa Ukraine itachukuliwa na Romania - Zelensky akibahatika atabaki na Kiev tu basi.
Kwa akili zenu nyie pro fashisti Putin mmeamua mauaji ya waukraine yanayofanywa na magaidi wa Urusi msingizie Zelesky eti anaua raia wake yaani Zelesky kavamiwa na huyo Shetani anaetaka kuiteka Ukraine nae kaamua kuitetea nchi yake leo Putin aonekane mwema huku akiendelea kuua waukraine kila kukicha kisa eti wanataka kujiunga na NATO halafu nyie watetezi unafiki mnaeneza propaganda eti Zelesky anaua watu wake mlitaka asalimishe Nchi yake kwa huyo Shetani Putin
 
Marekani na Uingereza zilikataa mazungumzo ya amani nchini Ukraine, anasema mwanasayansi mashuhuri wa Marekani Noam Chomsky.

Ili kudhoofisha Urusi, Marekani na Uingereza zinaendelea kuipatia Kiev silaha, na hivyo kuendeleza mzozo huo, anasema.

"Ukrainia sio muigizaji huru; wanategemea kile ambacho Amerika itaamua, "Chomsky anasema.

Kulingana na yeye, Urusi inafanya kazi nchini Ukraine "kwa kujizuia na wastani". Kwa Chomsky, "ni dhahiri" Urusi inapigana kwa ubinadamu zaidi nchini Ukraine kuliko Marekani ilivyokuwa Iraq.
View attachment 2606951
Yaani ufanye mazungumzo ya amani na Shetani kama Putin mwenye kiu ya kuiteka Ukraine na kuharibu Ukraine
 
Back
Top Bottom