Mei 9 sikukuu muhimu kwa Warusi, Putin atawaambia nini Warusi, Bakhmut imeshindikana

Mei 9 sikukuu muhimu kwa Warusi, Putin atawaambia nini Warusi, Bakhmut imeshindikana

Nilichogundua unataka Uzi wako upate comments tu na Wala Hauko hapa kujenga hoja!

Hehehe umeamkaje sheikh naona leo umeniquote mara mbili.....mtakoma tu.
 
Nilisubiri sana muitekea Kiev, sasa mumeishiwa tunasubiri Mei 9 labda mtatutakana sana.
Hakuna kitu unaaelewa wewe bali ni mihemko tu inakuendesha.

Kwa akili yako unadhani kama siyo support ya NATO na UMOJA WA ULAYA, ukraine ingeweza kupigana hata kwa wiki moja tu na Urusi ?
 
Hakuna kitu unaaelewa wewe bali ni mihemko tu inakuendesha.

Kwa akili yako unadhani kama siyo support ya NATO na UMOJA WA ULAYA, ukraine ingeweza kupigana hata kwa wiki moja tu na Urusi ?

NATO wangetia mguu pale huyo mtume wenu Putin angekua keshaliwa...... Kimsingi muda wote huu tumekua tunaogopa Urusi kumbe bonge la useless.
 
Back
Top Bottom