Mei 9 sikukuu muhimu kwa Warusi, Putin atawaambia nini Warusi, Bakhmut imeshindikana

Mkuu Bakhmut vipi? Ni propaganda pia kuwa bado haijatekwa, au haijatekwa kweli?
 
Napenda mlivyo ving'ang'anizi humu JF, licha ya aibu yote hii bado mpo mnaandika andika, japo sijaelewa umebwabwaja nini hapa.
Bado tunasubiri msafara wa kuiteka Kyev ufike.

Russia wana akili za siafu.
 
Amepoteza 200,000 akiwemo mbongo, poleni.
Data za mchongo!Hata ingekuwa kweli,Ukraine plus vibaraka wake wanepoteza mara nyingi zaidi!
Victory is inevitable!
 
Data za mchongo!Hata ingekuwa kweli,Ukraine plus vibaraka wake wanepoteza mara nyingi zaidi!
Victory is inevitable!

Hapo Bakhmut amepoteza wanajeshi zaidi ya population ya pale.
 
Hapo Bakhmut amepoteza wanajeshi zaidi ya population ya pale.
Na Ukraine amepoteza kiasi gani hapo bakhmut?
Halafu Kwa Russia ameenda kupambana na Civilians?
Uwezo wako wa kujenga hoja ni hafifu!
Vp huko maporini ambako hakuna population na ni frontline?
Hata kama Bakhmut pangekuwa hawaishi watu kabisa,kama Ukraine akileta askari basi ni kipigo tu!
 
Ukraine hata wafe wako kwao kwenye ardhi yao, Mtanzania na Mrusi na waarabu mitume wenu mumekwenda kufia nini huko......

Tunasubiri huu msafara...

Siku hiyo anasheherekea akiwa kyvi🤸🤸
 
Kuna uzi niliona umeanzisha wa mambo ya Mungu dhidi ya ma-atheist, kumbe baadhi yenu huwa mna akili ni ile tu mumeshikiliwa....
Najua unanikubali. Lakini nakusihi achana na kugombania ugali.
 
Acha hisia za kimihemko Bwana mdogo.

Sherehe inaweza kuairishwa tu hiyo siyo shida sana, maana ni sherehe zaidi ya mbili mpaka sasa zimeairishwa urusi.

Inajulikana kuwa taifa liko kipindi cha mpito kwa hiyo kutokusherehekea sidhani kama ni ishara ya weakness kama unavyodhani wewe.

Alafu cha kukumbusha tu ni kuwa hizo data zako za Maafa ya wanajeshi wa urusi unazozipata kwenye vyombo vya habari za kimaghaeibi hazina ukweli kwa kiasi kikubwa.

Na pamoja na kuwa hazina ukweli bado na wewe umetia chumvi zaidi.

Vyimbo vya magharibi kupitia makadirio ya pentagoni vimeripoti kuwa "Warusi wamepata hasara ya wanajeshi zaidi ya laki 2, na kati hao laki mbili vifo ni elfu 20" that means laki na 80 elfu ni majeruhi.

Ila wewe ulivyomaanishwa ni kama kwamba laki mbili wote wamekufa, yaani kifupi media za magharibi zimeongopa alafu wewe kwa ufahamu wako mdogo ukaongopa zaidi.

Jaribu kupanua ufahamu wako kwa kutafta data zinazoendana na uhalisia acha hisia za kukurupuka
 
Ukraine hata wafe wako kwao kwenye ardhi yao, Mtanzania na Mrusi na waarabu mitume wenu mumekwenda kufia nini huko......

Tunasubiri huu msafara...

Kwa akili Yako nilivyokusoma,hata Ukraine nzima ikibebwa na SMO ikaisha, utaendelea kupost huu utopolo usio na maana Kwa mazingira ya Sasa!
 
Na ataahirisha hadi akome, kaingia mkenge wa kuivamia nchi ya watu ambayo imemtokea puani.
 
Kwa akili Yako nilivyokusoma,hata Ukraine nzima ikibebwa na SMO ikaisha, utaendelea kupost huu utopolo usio na maana Kwa mazingira ya Sasa!

Niliogopa sana siku za mwanzo maana nilidhani Urusi ni ile tuliyoaminishwa enzi zile, iliyokua inategemewa na Waarabu wenu, ila kumbe useless.
 
Putin bwana!ngoja tusubiri tuone mikwara mbuzi yake Kama mwaka jana
 
Niliogopa sana siku za mwanzo maana nilidhani Urusi ni ile tuliyoaminishwa enzi zile, iliyokua inategemewa na Waarabu wenu, ila kumbe useless.
Uliogopa ukiwa Kenya au Ukraine?😀
 
Ukraine hata wafe wako kwao kwenye ardhi yao, Mtanzania na Mrusi na waarabu mitume wenu mumekwenda kufia nini huko......

Tunasubiri huu msafara...

Nilichogundua unataka Uzi wako upate comments tu na Wala Hauko hapa kujenga hoja!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…