Mei Mosi 2020: Rais Magufuli atuma salamu za siku ya wafanyakazi, asisitiza waendelee kufanya kazi na kujiepusha na Corona

Mei Mosi 2020: Rais Magufuli atuma salamu za siku ya wafanyakazi, asisitiza waendelee kufanya kazi na kujiepusha na Corona

cha1509

JF-Expert Member
Joined
Jul 6, 2018
Posts
258
Reaction score
402
Mh. Rais awasihi wafanyakaz wazidi kuchapa kazi katika kipindi ambacho dunia inapitia kipindi kigumu cha kupambana na Covid19


........
IMG_20200501_072959_258.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwenye hizo salamu sijaona sehemu yoyote aliyozungumzia masrahi ya wafanyakazi yaan najaribu kuvuta picha ya mabango ambayo angebebewa Leo daaaah!!!

Alipo anamshukuru saana Mungu maana sijui angesema nini Leo nadhani angepata wakati mgumu kuandaa speech ya Leo maana alikuwa hana akiba ya neno hata moja yooooote alikuwa ameshayatumia/kuyaongea eg: "kabla sijatoka madarakani nitakuwa nimeshaongeza mshahara" alisikika abiria mmoja akisema

#tumechoka kudanganywa
#tunataka haki zetu

*Pamoja na kuwepo Corona lakini tukumbuke maisha yanaendelea

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom